Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Uwa MNA kurupuka kutoka shimoni?Wanaume wa Dar wanapenda kahawa wakati kuna joto kari sana
Ndiyo,joto ni KRI a k a KALIWanaume wa Dar wanapenda kahawa wakati kuna joto kari sana
Wakuu,
Mimi huwa nashangazwa sana na wauza kahawa wa Tanzania .Huwa wanaweka kahawa kwenye birika la aluminium halafu chini wanaweka mkaa ili kahawa isipoe, sasa ninachojiuliza ni kwa nini wasitumie "Thermoses " ili kuepuka kutembea na mkaa? Au mkaa unasaidia kuifanya kahawa kukolea zaidi?
muraa nakuunga mkono darisarama kuna joto kari sanaWanaume wa Dar wanapenda kahawa wakati kuna joto kari sana