Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,942
Wakati wa maafa ya tetemeko yaliyotokea mkoa wa kagera, kuna watumishi waliondolewa kazni kwa tuhuma za ku-handle vibaya michango ya fedha kwa ajili ya kusaidia waathirika wa tetemeko hilo na watu waliunga mkono uamuzi huo na kumwaga sifa nyingi kwa aliechukua hatua hizo.
Cha ajabu leo hii kumeibuka tuhuma /utata juu ya nama fedha za rambirambi za vifo vya walimu na watoto wa Shule ya Msingi Lucky Vicent huko mkoani Arusha zilivyotumika ila ni watu wale wale walioshangilia uamuzi wa kuwatimua kazi watumishi wale wa mkoa wa Kagera wameanza kubeza na kuwakejeli wale wote wanaotaka ufafanuzi kutoka kwa mamlaka husika kuhusu jinsi michango hiyo ilivyotumika.
In short,it is better to live with animals rather than this kind of human beings who behave like robots.