Maajabu ya Wachina kwenye picha

Maajabu ya Wachina kwenye picha

Ukiacha kamera kuwa na resolution kubwa pia no settings/mode ya upigaji picha. Hiyo inaitwa panorama hadi kwenye simu yako nahakika ipo.
Unakua unapiga still picture lakini huku unamove katika single direction. Inakua kama 3d.
 
Hivi hiyo hata application yakeninayo hata kwenye simu yako waweza set ikatoke kwenye location uliopo
 
24.9 Giga pixel
Screenshot_20181225-171328.jpeg
Screenshot_20181225-170528.jpeg
Screenshot_20181225-170340.jpeg
Screenshot_20181225-170431.jpeg
 
Aiseeeeee teknolojia hatari sana unaweza ukajiona umejificha kumbe kuna jicho linakuona upo uchi
 
Back
Top Bottom