Maajabu ya usiku

Maajabu ya usiku

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,354
Reaction score
829,592
86a11095786992fa97b9adfb8e247529.jpg
 
mshana maelezo kidogo plz.....maana naona watu wamesimama tu kama kawaida....au usiku kusimama ni vibaya??
 
alafu huyo sijui mmama aliesimama kwenye majani hapo pembeni mbona nguo zote hasa vitenge.....au alienda dukan kununua. ili avae aje hapo au km ni wanga kumbe wanavyosema wanawanga uchi ni uongo??
mshana bna picha bila maelezo ni mtihani ujue
 
Wamepatwa nini hao mshana?

Mbona namuona ni mtu wa kawaida tu

Mkuu mbona sioni kisichoonekana hapo....nioneshe
Maajabu ya usiku....mtu wa kawaida hawezi kujitenga na kusimama pembeni kwenye miba
 
Mtani acha bana uyo mtu kasimama tu kawaida iyo miiba ni kama kulikua na uchochoro apo wa kupita wakauziba kwa iyo miiba. uoni kasimama kwa pembeni! Alafu ni kama watu wamelala kwenye msiba au sherehe naona katoni za maji yetu apo
 
Inaonekana kama ametoka kujisaidia haja ndogo, sasa ndio kasimama hapo anaangalia aende wapi!
 
Mwangalie vizuri aliyesimama kwenye miba pembeni
Kama kwenye msiba vile? Ila kunakichanga nacho kinalala kwenye msiba? Kuna na chupa za chai. Au ni stend ya mabasi yanayolala njiani? Mshana tutoe gizani tafadhari.
 
Back
Top Bottom