Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,773
- 2,383
Too smart by half!Watawacha kushindwa? ni mtu asiye na akili timamu tu anaeweza kutengeneza sanamu kwa mikono yake kisha akaliabudu.
Huo ni uongo wa dhahiri shahir. Huo ndio wakati uchumi uko hoi bin taabani, foleni mpaka ya unga.
Kuanzia 1967 baada ya Nyerere kutangaza Azimio la Arusha, Uchumi ukafa kabisa, Nyerere kairithi nchi kwa wakoloni ikiwa ya kwanza katika Afrika kusafirisha mazao ya kilimo nje. Kuanzia hiyo 1967, ndiyo ikawa mwisho wa hayo na ikawa omba omba wa kutupwa.
Nilikuwepo .
Too smart by half!
Kama una akili za kushinda mjapani anaye abudu sanamu ya mikono sita, basi mi nitatembelea pua.
Out of context!Kwa kuwa mjapani anaabudu sanamu na wewe ndio una akili nyingi sana kutengeneza sanamu la mzungu na kuliabidu?
Hilo sanamu la Kijapani ni Mwaafrika?
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Asante mkuu kwa kuionyesha kifasaha point yangu.Out of context!
Uligeneralize kwa statement yako,
Kama umesahau nakukumbusha
"By FaizaFoxy
Watawacha kushindwa? ni mtu asiye na akili timamu tu anaeweza kutengeneza sanamu kwa mikono yake kisha akaliabudu."
Sasa usiikimbie statement yako.
And it was easy to blow it apart, kwa maana lengo lako la moyoni kila mtu anajua unakoelekea, thats why jamaa kasema you are too smart by half!
Sasa ubishani wako unahamisha magoli ya malengo yako, hukumtaja mwafrika wala wala mjapani katika statement yako, sasa waingiza specifics because you have a prejudiced mind.
Out of context!
Uligeneralize kwa statement yako,
Kama umesahau nakukumbusha
"By FaizaFoxy
Watawacha kushindwa? ni mtu asiye na akili timamu tu anaeweza kutengeneza sanamu kwa mikono yake kisha akaliabudu."
Sasa usiikimbie statement yako.
And it was easy to blow it apart, kwa maana lengo lako la moyoni kila mtu anajua unakoelekea, thats why jamaa kasema you are too smart by half!
Sasa ubishani wako unahamisha magoli ya malengo yako, hukumtaja mwafrika wala wala mjapani katika statement yako, sasa waingiza specifics because you have a prejudiced mind.
Tuliosoma bure tumefaidika maana tulitumia vyema oppurtunity ile adimu.
Kama ulitegemea Nyerere aingie jikoni kwako hadi kukupikia basi una haki ya kulalamika maana upeo wako ulikuwa mdogo.
Nisome vizuri, ni nani kaitaja dunia nzima> au kwa upunguani wako "Afrika" ndio dunia nzima?
Amma kweli Watanzania tuna matatizo makubwa sana ya IQ zetu. Aliyesema tupo kwenye uwiano wa 72 namkatalia, mimi nna uhakika tupo kwenye 50.
Ikiwa ufahamu wenyewe ndio kama huo wako.
Tanzania foreign reserves 1985 = 16,000,000 - aliyoiacha Nyerere, aibu.
Tanzania foreign reserves 1995 = 270,203,522 - Mwinyi
Tanzania foreign reserves 2005 = 2,048,775,565 - Mkapa
Tanzania foreign reserves 2012 = 4,052,224,356 - Kubwa lao, na bado ana miaka 3 ya ku double hiyo figure.
Source: Total reserves (includes gold, current US$) | Data | Table
Kumbuka, siku nyingine uje na vitu valid, usifikiri wote humu JF ni mapunguani wenzako.
Huo ni uongo. Unajuwa unachokiandika lakini? au unahororoja tu.
Sema hujui tu, hakuna kuabudu sanamu kwenye Uislam.
Hivi ukaliabudu sanamu, ambalo umelitengeneza mwenyewe kwa mikono yako, una akili kweli?
Nimeshajibu juu huko, nisome vizuri. Lakini kwa uelewa wako nnavyousoma humu, nnamashaka kama utanielewa.
IQ yako huwaga ni ndogo!Msome tena huyu niliyemjibu, usidandie daladala kwa mbele, utadhurika:
True!I do not think you have understood my argument. My argument is that nothing in this world is free, including education. Someone somewhere pays for it. What is important is for the government to nurture the agent who pays for whatever seems to be free.
Asante kwa kuita wau mapunguani. Mimi siyo punguani kama unavyodhani.
Asante kwa takwimu. Hebu tuzichambue kidogo.
Tukichukulia takwimu za nyongeza ya Reserves utaona Mwinyi ndiye aliyefanya vizuri kwani aliweza kukuza reserves kwa asilimia 1689. Mkpapa amefuata kwa kukuza reserves kwa asilimia 758 na Kikwete asilimia 198. Kwa hiyo kuweza kumfikia Mkapa anatakiwa aache reserves zisizopungua USD15.5 billion. Nisingelipenda kupima mafanikio ya hawa marais kwa urahisi hivyo.
Kipimo kinachofuatwa kwenye mambo ya reserves ni hizo reserves zinaweza kutosha kuagiza bidhaa nje kwa miezi mingapi. Mkapa aliacha hizo reserves za USD 2.1 bn zikitosha kuagiza bidhas nje kwa miezi nane. Reserves tulizonazo leo, USD 4.6bn zinatosha kuagiza bidhaa kwa miezi minne nne. Kwa hiyo kumfikia Mkapa wa miezi nane reserves zetu zilitakiwa kuwa USD 9.2Bn.
Nadhani wewe wewe ndiye mwenye matatizo. Sijawahi kukuita punguani kwa nini uniite punguani? Wewe ndiye mwenye IQ ya juu? IQ ni kitu gani?
Tukirudi kwenye mjadala, naomba uniambie Tanzania ilikuwa ya kwanza kusafirisha mazao gani Afrika?
IQ yako huwaga ni ndogo!
Uligeneralise. tena kwa malengo unayoyajua fika, kuwa wanaochonga sanamu kwa mikono yao, na kuziabudu, hawana akili timamu.
Kwa muendelezo huo huo Lole Gwakisa ambaye nakubaliana naye, kakuonyesha kabila la watu wanaoitwa wajapani, wanaochonga sanamu kwa miaka maelfu sasa, za buddha na wazasisujudia.
Wewe ni aina ya mtu asiye na akili sana arushaye jiwe sokoni, akijua anampiga adui yake lakini kumbe mpiga mamaye.
Na kama hoja yako hutaki idandiwe, iandike kwenye diary yako na uisokomeze uchagoni, hapo itakuwa salama.
Usibadili mada, nondo za uhakika umeshapewa, zaidi ya hapo ujijue ulivyo kero katika jamii.Tena hawana kabisa akili si timamu tu. Utachongaje mwenyewe kinyago halafu ukiabudu? huo kama si wenda'azimu ni nini? au na wewe unaabudu sanamu?