Inachekesha sana...
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikiwa na eneo la ardhi (nchi kavu na maji) lenye kilometer za mraba 945,087.
Nigeria yenyewe ni ya 32.Duniani ikiwa na 923,768km sq....
sasa hapa Utagundua kitu,
Nigeria inawezaje kuwa na watu zaidi ya Millioni 300. . . Alafu Tanzania kuna watu Millioni 47 tu...
inamaana sisi hatuna mbegu?
Nigeria imewezaje kuwa na Uchumi mzuri vile kuliko Tz...
Isitoshe Siasa zao sio tulivu tokea uhuru , kama ni Rasili mali hata sisi tunazo tena ni nyingi mno!!!
Tumekosea wapi jamani???
Mara nyingi watu humu huwa wanakunanga lkn mm huwa nakusikiliza kwa makini sana... hoja yako ina mashiko
Dhambi kubwa kuliko zote duniani na Mbinguni ni Uoga....Hii ndo dhambi ambayo inatuadhibu.
Pili Tanzania hakuna Amani kuna Utulivu tuu.
Nigeria ina Makabila 60
Tanzania ina Makabila zaidi ya 180
Nigeria ina Lugha 4 za Taifa Kiingereza;Pg English; Hausa; Yoruba
Tanzania ina Lugha 2 za Taifa Kiingereza na Kiswahili
Nigeria kuna MATABAKA kati KIDINI na Wanauana Mpaka leo
Tanzania Tunayo lakini hatuuani
Kuwa na IDADI KUBWA ya Wananchi ni Tatizo kwa Taifa --- Angalia Nigeria wana GAS & OIL lakini wameshindwa kugawana sababu ya utitiri wao
Angalia jinsi itakavyokuwa rahisi kuwatosheleza idadi ya Watanzania
*** kwahiyo sijui Unasomea nini wanaokuambia IDADI KUBWA ya POPULATION ndio MAENDELEO YA NCHI...
c.c Joshua Haji
Inachekesha sana...
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikiwa na eneo la ardhi (nchi kavu na maji) lenye kilometer za mraba 945,087.
Nigeria yenyewe ni ya 32.Duniani ikiwa na 923,768km sq....
sasa hapa Utagundua kitu,
Nigeria inawezaje kuwa na watu zaidi ya Millioni 300. . . Alafu Tanzania kuna watu Millioni 47 tu...
inamaana sisi hatuna mbegu?
Nigeria imewezaje kuwa na Uchumi mzuri vile kuliko Tz...
Isitoshe Siasa zao sio tulivu tokea uhuru , kama ni Rasili mali hata sisi tunazo tena ni nyingi mno!!!
Tumekosea wapi jamani???
nijuwavyo tanzania ni ndogo kwa nigeria!!!!!!.....
Nyerere, ndiye aliyekosea, uchumi alikuwa nao lakini aliukalia, alishindwa kabisa kabisa katika mambo ya uchumi kwa miaka yote aliyoongoza hii nchi, zaidi ya 24. Aliiwacha nchi ni maskini wa mwisho duniani.
Alipong'atuka life expectancy ya Mtanzania ilikuwa hata miaka 40 haifiki. Jinsi alivyoshindwa katika huduma za afya.