Joshua Haji
Senior Member
- Nov 4, 2011
- 108
- 20
Inachekesha sana...
Tanzania ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani ikiwa na eneo la ardhi (nchi kavu na maji) lenye kilometer za mraba 945,087.
Nigeria yenyewe ni ya 32.Duniani ikiwa na 923,768km sq....
sasa hapa Utagundua kitu,
Nigeria inawezaje kuwa na watu zaidi ya Millioni 300. . . Alafu Tanzania kuna watu Millioni 47 tu...
inamaana sisi hatuna mbegu?
Nigeria imewezaje kuwa na Uchumi mzuri vile kuliko Tz...
Isitoshe Siasa zao sio tulivu tokea uhuru , kama ni Rasili mali hata sisi tunazo tena ni nyingi mno!!!
Tumekosea wapi jamani???