we kweli kyooma..big up!me ni mtumiaji mzuri wa hii kitu nkiwa na wyf wakati wa mechi uwa nina nguvu kama kifaru usiku kucha mgoma bado inadai
Nina aleji na hiyo kitu!
Pole aisee.
Wadau poleni!Nisiwe muongeaji sana nataka kuuliza hivi hii supu ya pweza mbona imekuja kuwa maarufu sana hapa mjini mpaka vijana wanaigombania?Kwan kuna kitu gan hasa kwenye supu hii?Je inavirubisho gan kwa afya ya binadamu?Naomba mnijuze maajabu ya supu ya Pweza kwa aliyetumia ili nami niifurahie...
Nawasilixha.