Maajabu ya soka la Tanzania

MANULA ATAKA MILIONI 100 SIMBA
Aishi-Manula.jpg

MLINDA mlango namba moja wa Azam FC, Aishi Manula, ameitaka klabu yoyote inayowania saini yake kwa ajili ya msimu ujao kuweka mezani Sh milioni 100 ili aweze kumwaga wino.

ODACOM YATANGAZA RASMI ZAWADI ZITAKAZOKABIDHIWA KWA MABINGWA WA LIGI HIVI KARIBUNI
unnamed.jpg

unnamed.jpg

“Tumeona bingwa wa michuano hii apate Sh. Milioni 50 kwa sababu atakuwa amecheza mechi saba na yule wa Vodacom anayecheza michezo 30 anapata Sh. Milioni 70,” Malinzi aliongeza.

HAYA NI MAAJABU SANA

YAANI MECHI ZOTE 37 TIMU INAPATA MILIONI 120, MCHEZJI MMOJA TU ANAOMBA MILIONI 100

Kuufuatilia mpira wa Kibongo / Kitanzania unahitaji kidogo nyaya zako za Uwendawazimu Kichwani ziwe zimekaza hasa.
 
Hiyo hela ilirudi vipi? Fafanua.Klabu kupata hela zaidi ya hiyo haina maana kwamba Pogba asingesajiliwa wasingepata hela waliyopata!!!
Drogba alipoenda ligi za China kwa hela kubwa mauzo ya jezi yake tu ilirudisha ile hela waliyomnunua
 
Mleta mada unaufahamu mdogo sn ktk biashara hasa ktk soccer,."no research no right to speak"!
 
Wewe mtoa mada hujui biashara ya mpira

Mpira sio mataji tu ,mpira una mambo mengi sana ,mataji ni sehemu tu

Nakupa mfano , unajua

Bingwa wa EPL anapewa zawadi ya £38m

Lakini man utd walimsajili pogba kwa £ 89m

Lakin uliwahi jiuliza MAN UTD walilenga nini zaidi?

Sasa man utd hiyo hela ilirud na zaidi ya hapo na hawakuchukua EPL hata nne bora hakuwepo

BIASHARA YA MPIRA NI PANA KULIKO UNAVYOFIKILIA

USIJE KUDHANI HATA SIKU MOJA KUWA USAJILI WA WACHEZAJI NA BAJET YA TIMU ,INALENGA KURUDISHWA KWA KUTWAA MAKOMBE ,

NA NDIO MAANA INAHITAJIKA MANEJIMENT NZURI YA BIASHARA YA MPIRA

HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA AZAM FC

SASA HIVI INAKUFA KIBUDU[/QUOT
38Million? Man u tu kachukuwa 145 Million sasa sijui data umeitoa wapi. EPL kuna share nyingi wanaanza wote equal 39 halafu kuna facility fees hapo ina range 39 to 12 kwa position, kuna Merit payments nayo almost same range halafu kuna overseas TV hapo wote wanachukuwa sawa 39 Million kuna team jumla wanavuta mpaka 150 million hapo bado kuna seasons tickets na commercial partners wa team ni pesa ndefu. hiyo 39 Million uliuosema wewe ni kama basic salary tu.
 
kuongeza hapo ni kuwa kama team inakuwa kwenye Tv mara nyingi pesa inaongezeka ndio maana wakati City anachukuwa ubingwa dhidi ya Liver ya Rodgers still liver walichukuwa pesa ndefu kwa kuwa walikuwa live on Tv mechi nyingi na hii watu wa Tv wanatizama team gani inavutia audience.
 
38Million? Man u tu kachukuwa 145 Million sasa sijui data umeitoa wapi. EPL kuna share nyingi wanaanza wote equal 39 halafu kuna facility fees hapo ina range 39 to 12 kwa position, kuna Merit payments nayo almost same range halafu kuna overseas TV hapo wote wanachukuwa sawa 39 Million kuna team jumla wanavuta mpaka 150 million hapo bado kuna seasons tickets na commercial partners wa team ni pesa ndefu. hiyo 39 Million uliuosema wewe ni kama basic salary tu.
Tatizo unakurupuka

EPL BINGWA HUCHUKUA .£38M BILA KUHUSISHA TV RIGHTS

SASA UBAKURUPUKA TU

MAN U ILIFIKA £149 M UKIJUMLISHA NA HAKI ZA MATANGAZO,
 
Tatizo unakurupuka

EPL BINGWA HUCHUKUA .£38M BILA KUHUSISHA TV RIGHTS

SASA UBAKURUPUKA TU

MAN U ILIFIKA £149 M UKIJUMLISHA NA HAKI ZA MATANGAZO,
Wewe na wewe angalia VPL tu sasa haki za matangazo sio revenue ya club au ni msaada huo? Team ina thamani ya Billion katika stock market wewe unaongelea Mil 39 wakati Rooney tu peke yake anavuta karibia mil 16. Nenda usome thamani ya EPL kila club ikiwa Sunderland tu wameshuka daraka wamechukua Mil 93 pound sio $.
 
Tatizo unakurupuka

EPL BINGWA HUCHUKUA .£38M BILA KUHUSISHA TV RIGHTS

SASA UBAKURUPUKA TU

MAN U ILIFIKA £149 M UKIJUMLISHA NA HAKI ZA MATANGAZO,
 
Attachments

  • Premier-League-TV-rights-money-distribution-final-infograph.jpg
    Premier-League-TV-rights-money-distribution-final-infograph.jpg
    111.6 KB · Views: 21
Wewe mtoa mada hujui biashara ya mpira

Mpira sio mataji tu ,mpira una mambo mengi sana ,mataji ni sehemu tu

Nakupa mfano , unajua

Bingwa wa EPL anapewa zawadi ya £38m

Lakini man utd walimsajili pogba kwa £ 89m

Lakin uliwahi jiuliza MAN UTD walilenga nini zaidi?

Sasa man utd hiyo hela ilirud na zaidi ya hapo na hawakuchukua EPL hata nne bora hakuwepo

BIASHARA YA MPIRA NI PANA KULIKO UNAVYOFIKILIA

USIJE KUDHANI HATA SIKU MOJA KUWA USAJILI WA WACHEZAJI NA BAJET YA TIMU ,INALENGA KURUDISHWA KWA KUTWAA MAKOMBE ,

NA NDIO MAANA INAHITAJIKA MANEJIMENT NZURI YA BIASHARA YA MPIRA

HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA AZAM FC

SASA HIVI INAKUFA KIBUDU
Asante kwa kuweka sawa mkuu.
Kwa sababu hizi ndio maana nashindwa hata kutazama mpira ubanda, zamani kidogo washabiki wa soka walikuwa waelewa na wachambuzi... Pengine walikuwa ndio jamii yenye wehu na akili kwa wakati mmoja. Tangia mpira uingiliwe na watu waliobet na washabiki wa fasheni basi imekuwa kizungumkuti.
Mfano ni huu, mtu anahusisha hizo findings zake na 'Soka la Bongo', sijui amefuatilia sajili za Uingereza/Spain vs pesa anayolipwa bingwa? Maana angefuatilia hayo asingeleta huu ushuzi na kupoteza muda wetu adimu.
Ashanitengua funga...
 
Back
Top Bottom