Maajabu ya soka la Tanzania

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,130
2,000
MANULA ATAKA MILIONI 100 SIMBAMLINDA mlango namba moja wa Azam FC, Aishi Manula, ameitaka klabu yoyote inayowania saini yake kwa ajili ya msimu ujao kuweka mezani Sh milioni 100 ili aweze kumwaga wino.

ODACOM YATANGAZA RASMI ZAWADI ZITAKAZOKABIDHIWA KWA MABINGWA WA LIGI HIVI KARIBUNI
“Tumeona bingwa wa michuano hii apate Sh. Milioni 50 kwa sababu atakuwa amecheza mechi saba na yule wa Vodacom anayecheza michezo 30 anapata Sh. Milioni 70,” Malinzi aliongeza.

HAYA NI MAAJABU SANA

YAANI MECHI ZOTE 37 TIMU INAPATA MILIONI 120, MCHEZJI MMOJA TU ANAOMBA MILIONI 100
 
Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
17,270
2,000
Wewe mtoa mada hujui biashara ya mpira

Mpira sio mataji tu ,mpira una mambo mengi sana ,mataji ni sehemu tu

Nakupa mfano , unajua

Bingwa wa EPL anapewa zawadi ya £38m

Lakini man utd walimsajili pogba kwa £ 89m

Lakin uliwahi jiuliza MAN UTD walilenga nini zaidi?

Sasa man utd hiyo hela ilirud na zaidi ya hapo na hawakuchukua EPL hata nne bora hakuwepo

BIASHARA YA MPIRA NI PANA KULIKO UNAVYOFIKILIA

USIJE KUDHANI HATA SIKU MOJA KUWA USAJILI WA WACHEZAJI NA BAJET YA TIMU ,INALENGA KURUDISHWA KWA KUTWAA MAKOMBE ,

NA NDIO MAANA INAHITAJIKA MANEJIMENT NZURI YA BIASHARA YA MPIRA

HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA AZAM FC

SASA HIVI INAKUFA KIBUDU
 
MUJAARAB
 
Saaed Kawemba
 
Guasa Amboni

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
8,032
2,000
Ile mipira yetu waqt ule viwanja vijana tunaita kudikila kulikuwa na ukuta wa urefu mita tatu timu zinategemea gatecollections sio huu wa sasa hivi ndugu yangu vyanzo vingi timu kama man united ina wadhamini lukuki kwa mtizamo wako huo utapotea
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
22,692
2,000
Wewe mtoa mada hujui biashara ya mpira

Mpira sio mataji tu ,mpira una mambo mengi sana ,mataji ni sehemu tu

Nakupa mfano , unajua

Bingwa wa EPL anapewa zawadi ya £38m

Lakini man utd walimsajili pogba kwa £ 89m

Lakin uliwahi jiuliza MAN UTD walilenga nini zaidi?

Sasa man utd hiyo hela ilirud na zaidi ya hapo na hawakuchukua EPL hata nne bora hakuwepo

BIASHARA YA MPIRA NI PANA KULIKO UNAVYOFIKILIA

USIJE KUDHANI HATA SIKU MOJA KUWA USAJILI WA WACHEZAJI NA BAJET YA TIMU ,INALENGA KURUDISHWA KWA KUTWAA MAKOMBE ,

NA NDIO MAANA INAHITAJIKA MANEJIMENT NZURI YA BIASHARA YA MPIRA

HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA AZAM FC

SASA HIVI INAKUFA KIBUDU
Labda wanarudisha hizo hela kwa kupitia viingilio,may be mpaka ligi iishe hela ya viingilio ni zaidi ya kombe na zaidi ya hela ya kununua wachezaji
 
Lussadam

JF-Expert Member
Oct 13, 2007
1,197
2,000
Wewe mtoa mada hujui biashara ya mpira

Mpira sio mataji tu ,mpira una mambo mengi sana ,mataji ni sehemu tu

Nakupa mfano , unajua

Bingwa wa EPL anapewa zawadi ya £38m

Lakini man utd walimsajili pogba kwa £ 89m

Lakin uliwahi jiuliza MAN UTD walilenga nini zaidi?

Sasa man utd hiyo hela ilirud na zaidi ya hapo na hawakuchukua EPL hata nne bora hakuwepo

BIASHARA YA MPIRA NI PANA KULIKO UNAVYOFIKILIA

USIJE KUDHANI HATA SIKU MOJA KUWA USAJILI WA WACHEZAJI NA BAJET YA TIMU ,INALENGA KURUDISHWA KWA KUTWAA MAKOMBE ,

NA NDIO MAANA INAHITAJIKA MANEJIMENT NZURI YA BIASHARA YA MPIRA

HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA AZAM FC

SASA HIVI INAKUFA KIBUDU
Hiyo hela ilirudi vipi? Fafanua.Klabu kupata hela zaidi ya hiyo haina maana kwamba Pogba asingesajiliwa wasingepata hela waliyopata!!!
 
Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
17,270
2,000
Hiyo hela ilirudi vipi? Fafanua.Klabu kupata hela zaidi ya hiyo haina maana kwamba Pogba asingesajiliwa wasingepata hela waliyopata!!!
Pogba hela yake ilirud haraka sana tena zaid kwa kuuzwa jez ya ibrahimovic kama ni mfatiliaji mzuri
 
marcus rojo

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
1,499
2,000
Hiyo hela ilirudi vipi? Fafanua.Klabu kupata hela zaidi ya hiyo haina maana kwamba Pogba asingesajiliwa wasingepata hela waliyopata!!!
Ilirudi Siku hiyo hiyo na ilikuwa Mara mbili yake kwa kuuza jezi ya pogba! Ndio maana man u wanachukua mchezaji anaewapa kitu zaidi nje ya uwanja. Hawawezi chukua MTU ka kante hata ka anajua kucheza je nje ya uwanja anawapa nn? Na kwa taarifa yako Manchester licha ya kumaliza nafasi ya sita anatofauti ya euro million Tisa tu na Chelsea mshindi wa kwanza na kampiku arsenal aliemaliza nafasi ya tano
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom