Sio wao wameamriwa!yes nimefika shuleni hapo na ni utaratibu wao mimi binafs niliupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa shule itaendaje?wangefanyiwa self isolation kabisa
kila mtu afanye kazi nyumbani kwake hakuna kuonana
Ni utaratibu uloanza kama miaka miwili imepita, simaanishi nimetembelea kipindi hiki cha corona. Ila baada ya kufunga shule niliambiwa bado walikuwa na sare hata siku za mwishoMkuu ni Tanzania hii au??
Maana navyojua mimi shule zote zimesitisha shughuli za kimasomo kwa walimu na wanafunzi
Embu dokeza kidogo mkuu, humu kuna watu wengi huenda wakatoa ushauri mujarabuIle shule iache kama ilivyo
Kuna mambo mengi yamejificha pale
Tatizo sio uniform tu
DuuuhhhHahahaha! Nimekula sana hivyo viticha na vi-nurse vya old
DuuuhHahahaha! Nimekula sana hivyo viticha na vi-nurse vya old
HatariKuna mwalimu aliacha ualimu baada ya kusomea accounts alikuwa ansema walimu ni kama watoto wadogo, akili zao huwa hazikui. Sidhani kama ni kweli lakini, hayo yalikuwa maoni yake juu ya walimu wenzake.
Pa kipumbavu mno, demu mmoja aweza kuliwa na watu 10Ila huko kihomboi ni kiboko ya yote maana kuna rafik angu alikua anafundisha new kihomboi sec ilibidi serikal iingilie kati ahamishwe nasikia hadi walimu wakiume ....wana mambo ya ajabu ule mji ni mdogo ivyo kuna majungu na mashindano plus wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani
Wakamhamishia mkoa gani sasa?Ila huko kihomboi ni kiboko ya yote maana kuna rafik angu alikua anafundisha new kihomboi sec ilibidi serikal iingilie kati ahamishwe nasikia hadi walimu wakiume ....wana mambo ya ajabu ule mji ni mdogo ivyo kuna majungu na mashindano plus wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawataki walimu wapendezeNI WIVU TUU
Noo ndo neno gani weweUngeweka picha tungechagua michepuko. Si unajua kamusi ya Singida haina neno noo
Kwa hiyo hela zote zinaelekezwa kwenye kudamshi?Shule ipo makao makuu ya wilaya Kwa hiyo hao walimu wanawake wengi ni wake wa viongozi lazima mashindano yawepo. Wakati nasoma Mimi kulikuwa na wake wa DC wawili (wake wenza), Mke WA DED na Viongozi wengine wengi tu, kikubwa je wanatimiza wajibu wao? Mengine waachiwe wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maana hiyo, maana yangu ni kwamba kila mmoja atataka kujionyesha kwamba yeye ni mke wa mkubwa hivyo anazoKwa hiyo hela zote zinaelekezwa kwenye kudamshi?