Wikiliki
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 528
- 141
Wana Jf wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita vyuo vikuu vilichelewa kufunguliwa kisa fedha ya kuwalipa wanafunzi hakuna eti hivyo wakasogeza mbele ili wapate fedha cha kushangaza hata baada ya kusogeza mbele muda na kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupiga kura hadi leo hii migomo ya wanafunzi kila kona kisa hakuna fedha.
Je kulikuwa na ulazima wa kusogeza muda wa kufungua vyuo.
Je kulikuwa na ulazima wa kusogeza muda wa kufungua vyuo.