Maajabu ya Saratani

Maajabu ya Saratani

Ulimuua marehemu mama naufahamu vizur huu ugonjwa
Nakumbuka stage 5mls za morphine kama pain killer zikawa zinadunda
Yaan unashnda na mgonjwa mchana na ucku kucha akiwa analia na kulalamika kwa maumivu
 
Kumbuka saratani pia husababishwa virusi pia " mfano HPV, EBV, HCV etc
Saratani (cancer) hushambulia chembe hai za mwili na huenea kwa kasi au taratibu.

Maajabu ya saratani ni kuwa haichagui mzee, kijana au mtoto. Tajiri au masikini, rangi au kabila. Saratani ni ugonjwa wa hatari.
 
Saratani (cancer) hushambulia chembe hai za mwili na huenea kwa kasi au taratibu.

Maajabu ya saratani ni kuwa haichagui mzee, kijana au mtoto. Tajiri au masikini, rangi au kabila. Saratani ni ugonjwa wa hatari.
Nime attach baadhi ya virus au parasite wanao sababisha saratani,
FB_IMG_1540973316211.jpeg
 
Pia ukimbadilia mgonjwa dawa na vyakula, pia maumivu huwa yanashuka.
Hakuna ugonjwa mzuri lakini cancer ni moja ya magonjwa hatari sana kuwahi kutokea duniani ,it is a death ticket

Binadamu sasa tunaishi katika kipindi kigumu sana ambacho akijawahi kutokea katika maisha ya binadamu, Dunia sio sehemu salama ya kuishi tena ingawa wanasiasa wanatudanganya tupo salama

Kama ulivohainisha kansa inampata mtu yeyote katika rika lolote na hapa juzi juzi imebainika out of paper work kansa ni ugonjwa ambao sometimes unatokea tu hata kama zile risk factors zote hauna

Madhara ya milipuko ya nyuklia radioactivity imesababisa jamii nyingi za kizungu kupata kansa na ndio maana watoto wengi wa kizungu wanapata sana leukemia

Maumivu yake ni hatari sana Dr mmoja aliwahi kusema mara nyingi tunawarelief wagonjwa wa kansa na painkillers strong kama morphines na pethidine ili wasife wakiwa wanateseka na maumivu hatari
 
Back
Top Bottom