Maajabu ya Saratani

Maajabu ya Saratani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Saratani (cancer) hushambulia chembe hai za mwili na huenea kwa kasi au taratibu.

Maajabu ya saratani ni kuwa haichagui mzee, kijana au mtoto. Tajiri au masikini, rangi au kabila. Saratani ni ugonjwa wa hatari.
 
Saratani (cancer) hushambulia chembe hai za mwili na huenea kwa kasi au taratibu.

Maajabu ya saratani ni kuwa haichagui mzee, kijana au mtoto. Tajiri au masikini, rangi au kabila. Saratani ni ugonjwa wa hatari.
Kama vile sijakusoma
 
Hii dunia ina mengi..vyanzo vingi vya kifo vimeandaliwa ili tufe..kuishi kwetu kumekua kwa mashaka sana miaka hii..ukikoswa na malaria,kansa,ukimwi,kisukari,ajali n.k vyote vina kutazama..eee mola tuepushe.
Huwa nikialikwa Birthday ya 75,80,85,90 huwa ninawanunulia zawadi kwa kukwepa mishale mingi.
 
Magonjwa ya hatari yako mengi mkuu,sio saratani tu.....pia magonjwa yasiyochagua hzo categories yako mengi pia....what is so special in cancer though it is treatable depending on the stage???
 
Hakuna ugonjwa mzuri lakini cancer ni moja ya magonjwa hatari sana kuwahi kutokea duniani ,it is a death ticket

Binadamu sasa tunaishi katika kipindi kigumu sana ambacho akijawahi kutokea katika maisha ya binadamu, Dunia sio sehemu salama ya kuishi tena ingawa wanasiasa wanatudanganya tupo salama

Kama ulivohainisha kansa inampata mtu yeyote katika rika lolote na hapa juzi juzi imebainika out of paper work kansa ni ugonjwa ambao sometimes unatokea tu hata kama zile risk factors zote hauna

Madhara ya milipuko ya nyuklia radioactivity imesababisa jamii nyingi za kizungu kupata kansa na ndio maana watoto wengi wa kizungu wanapata sana leukemia

Maumivu yake ni hatari sana Dr mmoja aliwahi kusema mara nyingi tunawarelief wagonjwa wa kansa na painkillers strong kama morphines na pethidine ili wasife wakiwa wanateseka na maumivu hatari
 
Back
Top Bottom