FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,784
- 46,900
rangi nyeusi
rangi nyeusi
nadhani muulizaji anataka kujua rangi nyeusi ni inapatikana kwa kuchanganya rangi zipi...coz rangi nyeusi ipo na inatumikaBujiBuji, weusi si rangi bali ni 'hali'. Infact hakuna kitu kama rangi nyeusi hapa duniani, kwanini nasema haya?!
Ili rangi iwe rangi inabidi iwe na uwezo wa kutoa mwanga wa rangi husika, mfano utakuta kuna taa zinazotoa mwanga wa bluu, 'orange', kijani n.k, lakini hatakuta taa inayota mwanga mweusi!
Weusi ni hali ya kushindwa ku-reflect/kuakisi rangi yoyote ile kati ya zile rangi milioni takrian 7 zilizopo kwenye mwanga mweupe, na badala yake huzinyonya rangi hizo zote na kuacha hali ya giza kwenye eneo husika, ambapo wewe umeamua kuita ni 'rangi nyeusi', lakini neno sahihi ni 'hali ya weusi'...!
Kitu cha bluu hunyonya rangi zote zilizo kwenye mwanga mweupe na kuakisi/ku-reflect rangi moja tu ambayo ni rangi ya bluu.., hali kadhalika kwa rangi zingine zote.., lakini vitu vyenye hali ya weusi havina uwezo huo!
Rangi ile hupatikana kwa kutumia powder zenye hali ya weusi.., na kama nilivyosema, ile si rangi. Haipatikani kwa kuchanganya zile rangi tatu za msingi.nadhani muulizaji anataka kujua rangi nyeusi ni inapatikana kwa kuchanganya rangi zipi...coz rangi nyeusi ipo na inatumika
sawa mkuu..ila ninachokumbukaRangi ile hupatikana kwa kutumia powder zenye hali ya weusi.., na kama nilivyosema, ile si rangi. Haipatikani kwa kuchanganya zile rangi tatu za msingi.
Umenikumbusha formula yangu ya sekondari, GREYE means green+red=yellow. Black means absence of colour. Hapa namkumbuka Mzee wa mbwembwe "Time is a limiting factor, let us end here....." Hapo yupo mlangoni akikusanya vimia mia vyake
Ray lee black is the absence of color. huo mchanganyiko huleta hali ya kushindwa kuakisi rangi ya aina yoyote ile kutoka kwenye mwanga mweupe. hivyo kinachotokea hapo ni giza a.k.a weusi.sawa mkuu..ila ninachokumbuka
ni kuwa ukichukua zile rangi tatu(kijani.nyekundu na blue) na kuzichanganya unapata njano,dhambarau na bluu mpauko
nyekundu + blue = dhambarau
nyekundu + kijani = njano
kijani + blue = blue mpauko
zen ukichanganya hizo rangi zilizopatikana(njano,dhambarau,bluu mpauko) unapata rangi nyeusi
njano + dhambarau + bluu mpauko = nyeusi
hapo unasemaje?
Its a pleasurenimejifunza kitu hapa
Nilikuwa nikipasikia sana hapo..Bila Shaka unamzungumzia moudy physics... Mchikichin hiyo aise pale tumepitia wengi
Umechemka wewe. Njano ni rangi ya msingi. Haipatikani kwa kuchanganya rangi zingine. Rangi za msingi ni Njano, Bluu na Nyekundusawa mkuu..ila ninachokumbuka
ni kuwa ukichukua zile rangi tatu(kijani.nyekundu na blue) na kuzichanganya unapata njano,dhambarau na bluu mpauko
nyekundu + blue = dhambarau
nyekundu + kijani = njano
kijani + blue = blue mpauko
zen ukichanganya hizo rangi zilizopatikana(njano,dhambarau,bluu mpauko) unapata rangi nyeusi
njano + dhambarau + bluu mpauko = nyeusi
hapo unasemaje?
hapo kwenye njano toa weka kijani..Umechemka wewe. Njano ni rangi ya msingi. Haipatikani kwa kuchanganya rangi zingine. Rangi za msingi ni Njano, Bluu na Nyekundu
Umenikumbusha formula yangu ya sekondari, GREYE means green+red=yellow. Black means absence of colour. Hapa namkumbuka Mzee wa mbwembwe "Time is a limiting factor, let us end here....." Hapo yupo mlangoni akikusanya vimia mia vyake
sikubishii coz wapo wanaosema hivyo pia..so unaweza kuchukua unachoamini wwUmechemka wewe. Njano ni rangi ya msingi. Haipatikani kwa kuchanganya rangi zingine. Rangi za msingi ni Njano, Bluu na Nyekundu
Rangi yoyote ile lazima iwe na kitu kinaitwa 'RGB VALUE'. Hii ni ratio ya mchanganyiko wa rangi tatu za msingi. R stands for red, G-green and B- Blue. Pata mwanga hapa http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_colors:_A–FYellow ni rangi ya msingi,haipatikani kwa kumix na rangi yyte