popo anatumia echolocation kwa ajili ya direction tu na wala haiusiani na kuona au kutoona, hawa viumbe kitaalamu ni NOCTUNAL yaani wako very active during night lakini haimaanishi hawaoni.. mnyama kama chui ni nadra kumuona kwa mchana kwakua yeye muda wa usiku anakua na clear viewing capacity kutokana na mechanism ya vision alionayo.. lakini mfano swala yeye anakua active kipindi cha mchana kitaalam (DIUNAL) ila usiku si kwamba haoni lakini hana uwezo mkubwa wa kuona.Je popo anaona au anatumia hiyo echolocation kugundua hapa kuna tu au ukuta ?
asante mkuu naamini tumejifunza kitu
Kisungu hongera ingawa hapa katika udadavuaji wako hujaeleza ni aina gani ya popo.. mimi ni mdau wa mambo haya ya study za viumbe ila kwa kukusaidia tu ni kwamba popo unaemzungumzia anaitwa Black Winged Bat yeye ni insectivore yaani anakula wadudu wadogowadogo na saizi ya kati.sasa ukisema popo unakuua too general ingawa wanaojua mambo haya watapata kufahamu intention yako lakini kwa wasiojua itakua kama vile unawapa taarifa zisizo sahihi.. ni mchango tu ndugu tangu
popo ni ndege au mnyama?
Popo ni Jembe
kuna aina nyingi za popo mleta mada kazungumzia aina moja popo wa upanga wanatafuta chakula kibaha wanalala mjini hawa uishi kwenye miti upanga wana mistar mistar na wanaona sana kwani ikitokea wakaanguka urudi pale2Popoooooooooo kama kadawia ukimuonaa kama ndege vile kumbe mnyamaaaa popooooo #macregan
popo ni ndege au mnyama?
popo ni ndege au mnyama?
sauti ya popo inaweza kukufanya kiziwi?? mh