Maajabu ya Polepole

... kwa uongo wa Wabongo, DNA (Vinasaba) vya hiyo damu vikipimwa tutaambiwa ni damu ya mbuzi au mchuzi wa fenesi uliowekewa tomato sauce!
😅
 
Mkuu pole sana sote tumeumia, Umeandika maneno ya kawaida ila kwa tone ya ukali iliyojificha.

Take heart champ!
 
Sio dawa kifanyikekile kinachotakiwa hayo yote yasingetokea na yasingekuwa na sababu!
 
Jamani kukaa nchi za watu bila mishemishe hasa ukiwa huna uhalali wa kuishi sio kitu rahisi
Halafu ukizingatia yuko kyuba ambayo ni swahiba mkubwa wa CCM, angebebwa mzobemzobe na serikali ya kyuba mpaka kukabidhiwa bongo....
Okay sawa
 
Ni kweli mkuu
 
Ni kweli
 
mimi nitakua mtu wa mwisho kuamini kuwa polepole kwa yote anayoyafahamu na kuyafanya alikua tanzania na ametekwa, huenda ni movie linachezwa na polepole anyway muda utasema
 
mimi nitakua mtu wa mwisho kuamini kuwa polepole kwa yote anayoyafahamu na kuyafanya alikua tanzania na ametekwa, huenda ni movie linachezwa na polepole anyway muda utasema
Waswahili tunashindwa kufanikisha au kutimiza lengo ni kwasababu ya kutokuwa na uwezo wa kuyadhibiti mazao yatokanayo na akili zetu,kila tulisikialo hatuna muda wa kutafakari bali tunalianzisha la kupingana nalo...

Mtoa taarifa: Polepole katekwa...
Mchangiaji:Hiyo ni movie kacheza Polepol
 
Yoote juu ya yote matukio haya yanazidi kupandisha hari ya vijana na wananchi kutaka kupambana na mfumo unaonekana ni mfumo ovu..
Mimi nina mtazamo tofauti.

Kukamatwa kwa Humphrey Polepole kunadhoofisha harakati yote dhidi ya serikali dhalimu. Yaani kuna mtu yuko kijijini, ndani ndani huko, naye ameshangaa imekuwaje Polepole akamatwe kirahisi hivyo kama kweli alikuwa serious na jambo alilokuwa analipambania? Mtu anaongea mambo mazito vile halafu hajajidhatiti kiulinzi? Hakuwa na back up ya 'watu wa system' wa kumlinda?

Kama yeye amedakwa kirahisi vile, vipi kwa raia atakayeingia barabarani kuandamana hiyo Oktoba 26? Huoni hiyo imewavunja moyo watu? Mimi nashauri Wananchi wasithubutu kuandamana, maana wanaohamasisha hayo maandamano wenyewe hawajajipanga. Si ajabu hata yule Kapteni Tesha naye ni mweupe tu na hana back up yoyote. Kwanini Wananchi wafe bure barabarani huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…