Aisee sijui kwann alirudi bora angebaki hukohukoTatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa
2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi
3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana
4. Karudi kabla hajajiuzulu
5. Hiyo hatujui
Aisee sijui kwann alirudi bora angebaki hukohuko
Aisee sijui kwann alirudi bora angebaki hukohuk
SahihiPunguza uoga tunazaliwa mara moja tunakufa mara moja
Yoote juu ya yote matukio haya yanazidi kupandisha hari ya vijana na wananchi kutaka kupambana na mfumo unaonekana ni mfumo ovu..1. Aliingiaje Tanzania?
2. Aliamini mwenye nyumba wake hangemchoma? Kumuhifadhi mtu wa aina hiyo ni sawa na kuunga mkono uhaini kwa serkali je aliamini mwenyenyumba wake asingemchoma? Maana kumpangisha ni sawa na kuhifadhi cocaine bangi au silaha nyumbani kwako.
3. Kwanamna yoyote alikuwa anaficha utambulisho akitoka na gari mfano kuvaa hijabu kidemu.
4.Je kurudi kwake bongo na kauli za kapten tesha ilikuwa ndio maandalizi ya kupindua nchi?
5. Naamini kuna watu wanafinywa muda huu zaidi ya tesha na Polepole.
Jamani kukaa nchi za watu bila mishemishe hasa ukiwa huna uhalali wa kuishi sio kitu rahisiAisee sijui kwann alirudi bora angebaki hukohuko
Binadamu tumezaliwa tofauti. Kuna wanaoweza kufanya mambo fulani na wasiowezaAisee sijui kwann alirudi bora angebaki hukohuko
Nani atamlipa mwenye nyumba uharibifu uliojitokezaTatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa
2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi
3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana
4. Karudi kabla hajajiuzulu
5. Hiyo hatujui
Mzee wangu Superburg umekuaje kwani?3. Kwanamna yoyote alikuwa anaficha utambulisho akitoka na gari mfano kuvaa hijabu kidemu.
MajiyamdimuSisi walevi tukilewa huwa tunazungumza mengi,
Mwafwele na wenzie waliovamia usiku ule si wametajwa watalipa tuNani atamlipa mwenye nyumba uharibifu uliojitokeza
Instagram kuna komenti ilidai polepole yupo Moshi huko sijui sehemu gani nikajisemea polepole yuko ulaya huyu jamaa kachanhanyikiwa leo kiko wapo?Tatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa
2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi
3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana
4. Karudi kabla hajajiuzulu
5. Hiyo hatujui
Instagram kuna komenti ilidai polepole yupo Moshi huko sijui sehemu gani nikajisemea polepole yuko ulaya huyu jamaa kachanhanyikiwa leo kiko wapiTatizo mnakimbilia kutoa maoni kabla ya kusikiliza kilichotokea
1. Alikuwepo nchini kabla ya kujiuzulu, amejiuzulu akiwa hapahapa
2. Nwenyenyumba hakua anajua lolote kuhusu polepole, mpangaji wake ni ndugu wa polepole. Hata palipovamiwa nwenyenyumba ndio alimpigia ndugu huyo baada ya majirani kumjulisha kuna uvamizi
3. Hiyo inaweza kuwa na ukweli au isiww namna ulivyoelezea anajua yeye alikua anatokaje. Kaka yake amesema walikua wakionana
4. Karudi kabla hajajiuzulu
5. Hiyo hatujui
........Kuna watu hawawezi kwenda jeshini kwa kuhofia kufia kwenye mafunzo au wakati wa Vita, lakini wapo maelfu hilo wala hawajali.