Hilo neno limenifanya niwe mpweke maana ninayempenda amepotea mtandaoni Me tooHuwafanya watu kulala bila nguo
Huwafanya watu wajiue
Huwafanya watu kufumuliwa pasipo kutarajia
Huwafanya wanaume kuhangaika kutafuta vumbi la congo
Huwafanya wanawake wasiojielewa kujichubua
Ongeza na wewe...
Labda kama ni mara ya kwanza kuingia kwenye ulimwengu wa mitongozo,but nowdays simu zimerahisishaNi gumu kulitamka kwenye mtongozo
Nakupenda![emoji53][emoji53][emoji53][emoji23] huwafanya wanaume kuwa matapeli.
Rubiikimimi[emoji85]
Ukiambiwa ukweli utachomoa , raha yenu kudanganywa[emoji23] huwafanya wanaume kuwa matapeli.
Rubiikimimi[emoji85]
Yetu au ya wanawake wako??[emoji35]Ukiambiwa ukweli utachomoa , raha yenu kudanganywa
Ukiwemo na wewe rubiiYetu au ya wanawake wako??[emoji35]
Rubiikimimi[emoji85]
Endapo litakua linatamkwa bila vitendo ni hatari sana na madhara yake makubwa sana...
Zaidi ha hapo ni neno zuri sana...
Cc: mahondaw