Maajabu ya ndoa: Unapewa cheti kabla ya mitihani

Maajabu ya ndoa: Unapewa cheti kabla ya mitihani

meaning ya chet cha ndoa, ni pongezi ya kujisitiri na kuvumiliana mpaka kuushinda mtihan bila kuvuliana chup zenu,[end of quote]
Me too hapa una uhakika na unachokisema
 
Hujaelewa wewe uckurupuke! meaning ya chet cha ndoa, ni pongezi ya kujisitiri na kuvumiliana mpaka kuushinda mtihan bila kuvuliana chup zenu, na ndio maana kuna amri usizin ila watu ni vichwa maji, pia mkishapata chet ndio mnaenda kutenda na kutekeleza maagizo ya ndoa, sasa, vivo hvo kwenye masomo unasoma unafaulu nakupata chet then unaenda kukitendea haki yake kwa kutekeleza.

una uhakika na unachokisema hapa
 
Lait kama ndoa ingeanza mitihan ndipo cheti cha ndoa ndipo kitoke kwakwel wachache tungebaki katika ndoa.Ngoja mm Na Munkari tuendelee kupendana
 
Yamekukuta yepi tena?? Angalia upande wa pili wa kile cheti kuna mahali pamenadikwa Expiry Date, kwani hakijaexpaya tu??
 
Pole chief, vumilia tu.
kila kitu kina raha na uchungu wake.
 
Back
Top Bottom