Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
kwa upande fulani lina weza kuwa ni jambo la kimiujizaIlikuwa inaendeshwa na skeleton....wazungu bana mi nazan sabab ilikuwa ni zaman labda walikuwa wanaact movie
Wahuni hao wanatafuta umaarufuWazungu waongo sana. Mambo ya Hollywood hayo.
ingia google search jina la iyo ndege mkuuHuu ni uongo.... leta link tukajisomee wenyewe
Google inapewa taarifa na watuingia google search jina la iyo ndege mkuu
Na google inaheshimu hii kanuni GIGOGoogle inapewa taarifa na watu
Mshana jr. Aje atusaidie hii kituMnamo mwaka 1954 tar 4 sept ndege iitwayo Santiago airline 513 ili ruka kutokea ujerumani ikiwa inaenda katika uwanja wa ndege uitwao Porto alagre uliopo nchini Brazil cha ajabu ndege hiyo kabla ya kufika katika kiwanja hicho inasemekana ili potelea katika bahari ya atlantiki hivyo ndege hiyo haikuonekana lakini baadae mnamo mwaka 1989 tar 12 Oct ikiwa ni miaka 35 imepita ndege hiyo ili onekana ikitua katika uwanja ule ule kama ilivyo pangiwa kutua mwanzoni katika uwanja wa Porto alagre hapo nchini Brazil cha ajabu zaidi ilitua ikiwa na abiria 88 wote katika siti zao pamoja na wahudumu 4 na marubani lakini wakiwa wame baki mafuvu tu kwa maana walisha kufa tangu kitambo cha kustaajabisha iliwezekanaje ndege Hiyo kutua katika uwanja huo ikiwa marubani wake walikuwa ni mafuvu..
- Je suala hili lina weza kuhusishwa na mambo ya time travel??
Naombeni mawazo yenu wakuu
>>>View attachment 1118344
..Kuna mambo hata hupaswi kuambiwa kuwa ni uongo, ila mimi nikisoma kitu cha uongo mwili husisimka na hii habari ni uongo MTUPU....
SIWEZI KUKUBALI HATA UNGEWEKA VIDEO.
Tatizo utak kufuatilia una bisha tuu..SIWEZI KUKUBALI HATA UNGEWEKA VIDEO.
SIWEZI KUKUBALI HATA UNGEWEKA VIDEO NA SAUTI ZA WAHANGA. FUATILIA WEWE ILI MIMI NIKATAE.Tatizo utak kufuatilia una bisha tuu..