Maajabu ya NASA

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Duniani kuna mambo ya kushangaza .

Unaijua NASA

Ndio nasa shirika la anga za juu la mmarekani ambalo hakuna taasisi ya anga za juu kubwa kuliko yoyote duniani Kama NASA .

Hata hao space x unaowasikia manjonjo yao yote yanaratibiwa na NASA.

Sasa cha ajabu hawana jengo lao binafsi jengo ambapo ofisi zao zimo pale NASA square Washington DC sio lao wamepanga .

Linamilikiwa na wakorea kusini. Tena Kodi Yao ya pango inaisha 2028.

Kampuni ya Hana Assets ndio inamiliki Lile jengo la ghorofa Tisa pale Washington.

Hivyo NASA na mbwembwe zao zote wamepanga hawana nyumba hawana pa kuishi.
 
Akili zako niza kijiwenijiweni: Stanbic bank (T), Absa(T) hawana pa kuishi
 
Mnaonishambulia hamjui unyeti wa NASA kwa USA. NASA ni zaidi ya JWTZ hapa kwetu Sasa mnaonaje JWTZ pale ngome upanga karibu na ubalozi wa Burundi iwe ni eneo binafsi la watu? Kuna Mambo ambayo ni purely for state security je private owners hawawezi kulifanyia jengo bugging na Mambo mengine hatarishi kea usalama wa USA?
 
Mnaonishambulia hamjui unyeti wa NASA kwa USA NASA ni zaidi ya jwtz hapa kwetu Sasa mnaonaje jwtz pale ngome upanga karibu na ubalozi wa Burundi iwe ni eneo binafsi la watu? Kuna Mambo ambayo ni purely for state security je private owners hawawezi kulifanyia jengo bugging na Mambo mengine hatarishi kea usalama wa USA?
Kwa hiyo wewe una akili kuliko serikali ya Marekani ..

SUBIRI KIDOGO
 
Two Independence Square, better known as NASA Headquarters, is a low-rise building in the two-building Independence Square complex at 300 E Street SW in Washington D.C. The building houses NASA leadership who provide overall guidance and direction to the US government executive branch agency NASA, under the leadership of the NASA administrator. Ten field centers and a variety of installations around the country conduct the day-to-day work.
 
Type
Government offices
Commercial offices
Location
300 E Street SW
Washington D.C.
Coordinates
38.8830°N 77.0163°W
Completed
1992
Owner
Hana Asset Management[1]
Technical details
Floor count
9
Design and construction
Architect
Evans Heintges Architects
Kohn Pederson Fox
Developer
Boston Properties
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom