ulisoma chuo gani??Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Waambie hao...they think love needs material things,,wakati udhaifu wa mwanamke upo maskioni..!
Hao viumbe huwa hawaeleweki. Wala usijisumbue kuwaelewa!Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
vile vyuo vya sasa tumehamia mtaa wa ................... mkabala na.................ulisoma chuo gani??
Mkuu. Hukumsoma huyu bibie?Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shoga uyo hakufai, nipe namba yake nimchambe
Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Pesa si hitaji la kwanza kwako wewe mwanamke ILA si wanawake.Hakuna aliyeniambia...
Pesa ina nafasi yake. Lakini si hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi.
First thing first....
Ila mtoa mada naye kuna sehemu katika maelezo yake haeleweki