Maajabu ya Mwanamke

daaaahhh!! respect you girls. Na mimi kuanzia leo hata sijisumbui hata kuwaelewa kwa sabab siku hizi hawataki hela hela tu peke yake! wanataka na vitu vingine ambavyo hata wenyewe ukiwauliza hawavijui.Eeeeeehhh Mungu baba embu naomb wapunguze kidogo kwa maana huku duniani wenyewe ndio wako wengi kuliko sisi halafu wengi kwenye hao wengi wao ni zero brain sasa!!! very very very very bad....
 
wana taaluma kubwa sana ya kuzaliwa....KUCHANGANYA UKATIRI NA HURUMA kwa wakati mmoja.....

na tunashindwa kuwaweza..kwani...dunia hii....HAKUNA MWANAUME ANAEJUA MWANAMKE ANATAKA NINI....??..
 
Ahsante... karibu tena...
Wenzako wanalalama wee ndo unajifanya ngunguri? 😀😀😀
Ila umejibu kwa adabu..... hadi napata walakini mmmhhhh.....

Nacheka kwa dharau.....
 
Wenzako wanalalama wee ndo unajifanya ngunguri? 😀😀😀
Ila umejibu kwa adabu..... hadi napata walakini mmmhhhh.....

Nacheka kwa dharau.....

Nyie viumbe mimi hamniumizi kichwa.... nimejibu kwa adabu au nakuonea huruma...
 
Nyie viumbe mimi hamniumizi kichwa.... nimejibu kwa adabu au nakuonea huruma...

Hhahahahahahahhaaaaa nilikuwa nimesahau kumbe wewe ni baba Huruma, hehehehee mzima lakini?
 
Na wewe ni mama haruma unajisahahulisha...

Mie ni bibi utanikamatia kwa mbaaali saanaaa

Halafu ona sasa unavochapia hapo kwenye red..... poyeee....

Usitake tufananeeeeeee........... he he hee
 
Mie ni bibi utanikamatia kwa mbaaali saanaaa

Halafu ona sasa unavochapia hapo kwenye red..... poyeee....

Usitake tufananeeeeeee........... he he hee

Wewe ni nani? Unaajita bibi? Hahahaha nacheka kwa dharau sana... Haya kwa watakaoamini wewe ni bibi...
 
Wewe ni nani? Unaajita bibi? Hahahaha nacheka kwa dharau sana... Haya kwa watakaoamini wewe ni bibi...

Mie ni Kasinde J. J. Mwanakatoto aka Ajuza aka Kasie aka kigagulaaa.....

Sijiiti that's me..... that's her.... that's Kasie... me, myself and I.....

Usitake tufananeeeee....... hee hee hee heee

Kwahiyo una jopo la unaotaka wakuamini huku wewe hutaki waamini uhalisia....

Kasie...
 
We atoto hebu ukuje hapa
 
Shauri yako.. wewe danganaya uma tuu... Mungu anakuona... "God is watching you"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…