Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Kumbe umeona mkuuu tuendelee kushangaaa wote maajabu hata mm sjaonaCha ajabu ni hicho cha njano chini? Au huyo jamaa oliyevaa gwanda jeusi?
Kumbe umeona mkuuu tuendelee kushangaaa wote maajabu hata mm sjaona
Sent using Jamii Forums mobile app
doooh haya tushangae woteMbona hujanijibu pmKumbe umeona mkuuu tuendelee kushangaaa wote maajabu hata mm sjaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah unaruhusiwa kuvuta kamba kuvuta subra lakin ukianza kuvuta bangi hapo unakua umepotea
Itabid nikupm mkuu unipeleke kanisan naona kuna upako hatarHuyo ni mchungaji ana kanisa la ambalo kunywa bia unaruhusiwa kanisani pia anasema kutembea na house girl kua na wanawake wengi unaruhisiwa ana vipengele alivyotoa kwenye biblia kama mfalme suleman kua na wanawake wengi n.k ana vipeperushi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeh ! Mbona umenipiga picha mkuu,
To accomplish much you must first lose everything..





mm sna kamera mbn natumia nokia tochii mkuu