Maajabu ya mti wa ubuyu

Maajabu ya mti wa ubuyu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
MAAJABU YA MTI WA UBUYU
Baa ndani ya Mti wa Ubuyu.
Upo kwenye bustani ya Limpopo, nchini South Africa
Una upana wa Mita 47.2 (karibu sawa na nusu ya uwanja wa mpira wa miguu).
Unaweza kuingiza watu wazima 40 kwa wakati mmoja
Unakadiriwa kua na umri wa miaka 6,000.

Baa ndani ya Mti wa Ubuyu.jpg
Baa ndani ya Mti wa Ubuyu 2.jpg
Baa ndani ya Mti wa Ubuyu 3.jpg
 
Siku ukindondoka na watu wakiwemo ndyo wataisoma no
 
Jiti kubwaa lakini hasara tupu hata kibao cha kukalia hutoi.lingekuwa linatoa mbao dahh
 
Wakati kwetu tunaimani mbuyu ni nyumba za mashetani kumbe huku kwenu ni BAA
 
Hiyo ni lugha ya kiswahili KUDONDOKA linatokana na neno KUANGUKA
Neno KUDONDOKA linatumika kwenye vitu vyenye asili ya kimiminika mfano maji, sharubati, chai nk. Mbuyu haudondoki bali unaanguka..
 
Back
Top Bottom