Mzee Mchopu
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,031
- 268
Wanabodi kuna mtu anasema ,Tanzania imebarikiwa san kuwa na MTI HUU WA MVUNGE.
Pia anasema huu mti kwanzia mizizi ,Magamba, Majani mpaka matunda yake ni TIBA muhimu kabisa.
Kwa mwenye kuufahamu, Tafadhali asisite kutuelezea anavyoujua. Na kama kweli ni tiba .Je unatibu matatizo gani hasa.
AHSANTENI.