Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Nimekuja Mo town kwenye msiba wa Mzee Ndesamburo, nimeshangaa na kustaajabu.
Mara ya mwisho kukanyaga Moshi ilikuwa mwaka 1998, almost miaka 20 iliyopita lakini mji huu haujabadilika.
Miaka nenda rudi Mji wa Moshi upo vile vile tena upo kizamani sana. Wachagga mnaniangusha, yaani ile misifa yote ya Kugombea magari mwisho wa mwaka kumbe mnakuja kwenye kamji uchwara kama haka.
Wachagga hebu, amakeni acheni kujisifu haswa mkiwa nje ya Mo town, badilisheni hiki kijiji chenu mnakokaita Mji.
Baada ya Msiba nitafika huko A town kwa Machalii nikaone nini kimejiri, maana hawana tofauti sana na watu wa Mo town.
eti kashukia MijohoroniNenda migombani huko watu ndipo wamefanya kufuru.
Nimekuja Mo town kwenye msiba wa Mzee Ndesamburo, nimeshangaa na kustaajabu.
Mara ya mwisho kukanyaga Moshi ilikuwa mwaka 1998, almost miaka 20 iliyopita lakini mji huu haujabadilika.
Miaka nenda rudi Mji wa Moshi upo vile vile tena upo kizamani sana. Wachagga mnaniangusha, yaani ile misifa yote ya Kugombea magari mwisho wa mwaka kumbe mnakuja kwenye kamji uchwara kama haka.
Wachagga hebu, amakeni acheni kujisifu haswa mkiwa nje ya Mo town, badilisheni hiki kijiji chenu mnakokaita Mji.
Baada ya Msiba nitafika huko A town kwa Machalii nikaone nini kimejiri, maana hawana tofauti sana na watu wa Mo town.
apa ruwa, kiruuuuuuuuuuuuuuu, hahahahahah, mbuuuutaaaa
Nime miss kitimoto ya Moshi!! Tulikuwa tunaenda kula Kiboroloni sijui hadi ipo au walihamisha mahakama ya nguruwe?Siku moja nikiwa mwanafunzi nilishaga mwenzangu mmoj maana tulitoroka tukafika sehemu moja tukaagiza.
kuja kustuka tuna mwisilam ikabidi tule tu japo aliisifu sana na kesho yake akataka tena.
alipokuja kustuka dah urafiki ukaisha kabisa
Jaribu kujongea migombani vijijini ndanindani,then utupe mrejesho.Nimekuja Mo town kwenye msiba wa Mzee Ndesamburo, nimeshangaa na kustaajabu.
Mara ya mwisho kukanyaga Moshi ilikuwa mwaka 1998, almost miaka 20 iliyopita lakini mji huu haujabadilika.
Miaka nenda rudi Mji wa Moshi upo vile vile tena upo kizamani sana. Wachagga mnaniangusha, yaani ile misifa yote ya Kugombea magari mwisho wa mwaka kumbe mnakuja kwenye kamji uchwara kama haka.
Wachagga hebu, amakeni acheni kujisifu haswa mkiwa nje ya Mo town, badilisheni hiki kijiji chenu mnakokaita Mji.
Baada ya Msiba nitafika huko A town kwa Machalii nikaone nini kimejiri, maana hawana tofauti sana na watu wa Mo town.
Wewe Mbona hujabadilikaNimekuja Mo town kwenye msiba wa Mzee Ndesamburo, nimeshangaa na kustaajabu.
Mara ya mwisho kukanyaga Moshi ilikuwa mwaka 1998, almost miaka 20 iliyopita lakini mji huu haujabadilika.
Miaka nenda rudi Mji wa Moshi upo vile vile tena upo kizamani sana. Wachagga mnaniangusha, yaani ile misifa yote ya Kugombea magari mwisho wa mwaka kumbe mnakuja kwenye kamji uchwara kama haka.
Wachagga hebu, amakeni acheni kujisifu haswa mkiwa nje ya Mo town, badilisheni hiki kijiji chenu mnakokaita Mji.
Baada ya Msiba nitafika huko A town kwa Machalii nikaone nini kimejiri, maana hawana tofauti sana na watu wa Mo town.
wewe ukawa unatafuta wali.? kule ni chakula cha kukumimi nilikua sijawahi kwenda moshi ila nilienda kwenye maonyesho ya osha na siku ya wafanyakazi nilipapenda pako vzr tulishindana kwenye chakula nilikuta ndizi nyama kila nilipoend
Ushapigwa limbwata la kichaga weweMleta hoja nahisi hujafika Moshi uansemea tu kwa mihemko yako. Miaka 20 mji uko vilevile? kweli nahisi kuna kitu unatumia na kimeshapigwa marufuku. mji sasa hivi unakimbilia kuwa jiji huo. Eti watu wanaenda dec kumbe hamna kitu. Panda milimani kwao uone mahekalu, umeme kila kaya, lami, mabomba ya maji, mito ya maji! Ni ukweni acha niseme ukweli kwani nimepapenda sana tofauti na kwetu Iringa.