Maajabu ya Mji wa Chato

Lami na taa za barabarani kwa ajili ya punda na ng'ombe wa kulima! Heeheeehehheee!!!!!
 
Moshi hakuna mataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ukabila dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa-Tz bana, mtu akijenga kwao anasemwaaa, asipojenga anasemwaaa!!!

Lipi bora?

Bora tule wote, kujenga home ndo uwajibikaji! Viongozi wapuuzi na wabinafsi hawakumbuki kwao.

JPM, has done well. Wengine waige kwao. Nilipitaga jimbo la aliyekuwa waziri wa kilimo Eng Chiza huko Kakonko, pabayaaaaaa utafikiri ni njia ya kuelekea jalalani huku jamaa linaishi Dar! Nikapita jimbo la Lukuvi, nako hovyo tu....

Sasa lipi bora???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila Rais akijenga kwao kama hivi baada ya miaka 100 kila mkoa utakuwa umejengeka. Imagine Nyerere angejenga Butiama, Mwinyi angejenga kwao,Mkapa angeendeleza Mtwara,JK angeendeleza Chalinze tungekuwa na miji 5 mizuri plus iliojijenga yenyewe.
 
Kwaio miji ili iwe bora ni lazima viongozi wajenge kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…