Weka video,hata hivyo kama chato ipo Tanzania najivunia kuwa na mji kama huo,huko Morogoro kama hakuna taa za barabarani tatizo ni lao,kuna Tanroads,kuna halmashauri ya manispaa n.kKatika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:
Kati kati ya mji huu kuna mataa ya kuongozea magari barabarani, taa hizi ni kituko kidogo maana zinakusubirisha wakati hakuna magari mengine au watu wanaopita, yaan unaweza kujikuta uko tu mwenyewe na unasubiria tu taa zi ruhusu. Naam wale wa mikoa kama morogoro pamoja na umaarufu wa mkoa wake ila mataa kwao ni habari nyingine, hakuna kabisa kwaio hapa wanaweza wasinielewe.
Mitaa yote ya mji huu ina barabara za lami, ni karibu asilimia 90 mkeka tu, kuanzia za kati ya mji mpaka mitaani.
Wakazi wa huku kama nao wanajiona waTanzania namba moja, yaani kiburi kiburi hivi.
Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.
Hospitali za mji huu ni full air conditions tu, kipupwe safi kabisa, na sijaona vihospitali kama sinza, Sijui temeke au wapi huko bado sanaa, kimiundo mbinu kwa hospital za chato.
Majengo ya serikali ni nadhifu na mazuri sanaa, yanavutia ata kuyatazama tu.
Kuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.
Kuna airport karibuni itaanza kutumika, japo ukiwaangalia wananchi tu walio wengi kwa kweli labda nauli zishushwe.
Wakuu tukumbuke kujenga vijijini kwetu ni muhimu sanaa. Ni haya machache tu na ndio nliyoyaona kwaio nisije kupangiwa vya kuona na kusema.
Umefika Chato, ila hujakaa na kuongea na wananchi.Katika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:
Kati kati ya mji huu kuna mataa ya kuongozea magari barabarani, taa hizi ni kituko kidogo maana zinakusubirisha wakati hakuna magari mengine au watu wanaopita, yaan unaweza kujikuta uko tu mwenyewe na unasubiria tu taa zi ruhusu. Naam wale wa mikoa kama morogoro pamoja na umaarufu wa mkoa wake ila mataa kwao ni habari nyingine, hakuna kabisa kwaio hapa wanaweza wasinielewe.
Mitaa yote ya mji huu ina barabara za lami, ni karibu asilimia 90 mkeka tu, kuanzia za kati ya mji mpaka mitaani.
Wakazi wa huku kama nao wanajiona waTanzania namba moja, yaani kiburi kiburi hivi.
Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.
Hospitali za mji huu ni full air conditions tu, kipupwe safi kabisa, na sijaona vihospitali kama sinza, Sijui temeke au wapi huko bado sanaa, kimiundo mbinu kwa hospital za chato.
Majengo ya serikali ni nadhifu na mazuri sanaa, yanavutia ata kuyatazama tu.
Kuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.
Kuna airport karibuni itaanza kutumika, japo ukiwaangalia wananchi tu walio wengi kwa kweli labda nauli zishushwe.
Wakuu tukumbuke kujenga vijijini kwetu ni muhimu sanaa. Ni haya machache tu na ndio nliyoyaona kwaio nisije kupangiwa vya kuona na kusema.
Kwa uongozi mzuri wa Magufuli, na kama amekuwa mbunge wa Chato kwa miaka mingi lazima patakuwa hivo tu. Viva JPM. Wewe ni mfano wa kuogwa
Ni zamu yetu sasaKuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.
Wekeni picha za mataa ya chato na uthibitishoKatika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:
Kati kati ya mji huu kuna mataa ya kuongozea magari barabarani, taa hizi ni kituko kidogo maana zinakusubirisha wakati hakuna magari mengine au watu wanaopita, yaan unaweza kujikuta uko tu mwenyewe na unasubiria tu taa zi ruhusu. Naam wale wa mikoa kama morogoro pamoja na umaarufu wa mkoa wake ila mataa kwao ni habari nyingine, hakuna kabisa kwaio hapa wanaweza wasinielewe.
Mitaa yote ya mji huu ina barabara za lami, ni karibu asilimia 90 mkeka tu, kuanzia za kati ya mji mpaka mitaani.
Wakazi wa huku kama nao wanajiona waTanzania namba moja, yaani kiburi kiburi hivi.
Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.
Hospitali za mji huu ni full air conditions tu, kipupwe safi kabisa, na sijaona vihospitali kama sinza, Sijui temeke au wapi huko bado sanaa, kimiundo mbinu kwa hospital za chato.
Majengo ya serikali ni nadhifu na mazuri sanaa, yanavutia ata kuyatazama tu.
Kuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.
Kuna airport karibuni itaanza kutumika, japo ukiwaangalia wananchi tu walio wengi kwa kweli labda nauli zishushwe.
Wakuu tukumbuke kujenga vijijini kwetu ni muhimu sanaa. Ni haya machache tu na ndio nliyoyaona kwaio nisije kupangiwa vya kuona na kusema.
MKUU YAN PUNDA WA CHATO WANAJUA KUTUMIA MATAA YA KUONGOZEA MAGARI????Hata mimi nimefika Chato. Kilichonifurahisha ni chakula kizuri pale J Motel sijui hotel sikumbuki vizuri...na ulinzi pia. Kilichonishangaza ni mataa ya kuongozea magari wakati magari yenyewe hamna...na cha ajabu hadi punda wakifika pale wanafauata taa.
Kweli tukumbuke kujenga vijiji vyetu. Raha zisiwe mjini tu bali hata tukirudi makwetu kuwe vizuri pia.
Asubuhi njema.
Wekeni picha za mataa ya chato na uthibitisho
Duh, hii photoshop au!
Zinaongoza punda...