moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Pasta wa Kanisa la Covenant huko nchini Nigeria awaamurisha waumini wake wote wakati wa maombi ya usiku wavue nguo zao ili awaombee ndipo roho mtakatifu atawaingie kirahisi.
Baada ya waumini hao kutii agizo la kuvua nguo ndipo Pasta alianza kuomba na ghafula wakaanza kuanguka na kushindwa kujitambua, kisha Pasta akaanza kupita na kuwakanyaga.
Baadaye aliwaamuru waamuke na kuvaa nguo zao na kuendelea na ibada.