Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
Pengine ni kuchangia huko kwa hisia za viungo, kumefanya wawe pia na hisia moja katika masuala ya kimaisha. Wawili hawa wanahisia moja ya kimapenzi.
wanadai wamempenda mtu mmoja. wao ndo walianza kumwambia kijana wanampenda nae akawasilikiza . ila amesema yupo kwenye tafakari hwezi kukurupuka na wao wamempa muda wa kutafakari wanasubiri majibu.tuwaombee huyu mwanaume wa ndoto zao awakubalie
habari zaidi soma mwananchi ya leo