Maajabu ya mapacha walioungana

Maajabu ya mapacha walioungana

dah jamani ninawaza sana juu ya uumbaji wa Mungu, niliwahi kusoma sehemu wakisema wangependa kuolewa na mwanaume mmoja tuu mwenye upendo wa kweli mmh nikaona aisee itakuwa tabu sana itakuwaje hasa wakihitaji kuzaa je itakuwaje?
Kwani jinsia si wanatumia moja ila vichwa ni vi2
 
Nikiwaangaliaga huwa nawaonea sana huruma.... siku ya graduation yao [HASHTAG]#Machozi[/HASHTAG] yalinitoka sana nililia kwa kweli
 
Kwa mfano tuu ikitokea mmojawao akaaga dunia nieleweni nimesema mfano. Je huyu aliyehai itakuwaje?? Maana wanashare akili na mioyo tofauti au wana moyo mmoja??
 
Nauliza tu jamani


Hapo kwenye ndoa mume mmoja atakuwa anagegeda wote wawili kwa wakati mmoja? Au watapeana shift?....... huwa najiulizaga sana


Mungu anisamehe kwa kuwawazia kuhusu kufanya matusi
labda wana sehemu ya siri moja
 
hapo nadhan mwanaume wa kuwaoa lazima ajipange kisawa sawa make hiyo huduma si mchezo
 
Huyo mwingine atakufa kwa sababu ya loneliness na mawazo ya mwenziwe au mmoja akifa mwingine hawezi kuishi hata kumtenganisha itakuwa ngumu

Maan kuna wale walikuwaga wameungana halafu wakubwa nchini kama Sio Sri Lanka basi ni Indonesia waliweza kuishi kwa muda wa miaka 28 wakawa walikufa theatre room Operation kubwa kuwahi kutokea duniani n madaktari bingwa walikua wanajaribu kuwatenganisha.
duh ni huruma mengine tumwachie Mungu tu
 
Allah Akbar.
Mimi huwa najiuliza tu, akifa mmoja itakuwaje?
Mwenzie pia atakufa au itakuwaje?

Naamini watoto walioungana kama hawa wanazaliwa wengi sana, ila kwa imani potofu zilizotujaa wengi huuwawa wakiwa angali wachanga.
Wafanyiwa operation kwa mmoja kuondoka na mmoja kubaki.
 
Kwa mara ya kwanza nilipata kuwasikia hawa (Maria na Conso) nikiwa Njombe na wao wakiwa Ikonda mission
 
Mh,ila na wewe una maswali magumu...,mi staki hata kuwazia jibu lake maana najua jibu siwezi kuwa nalo.
 
Back
Top Bottom