Maajabu ya maabara ya hospitali zetu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu ya maabara ya hospitali zetu!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ndyoko, Dec 21, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Hiki kituko nimekishuhudia leo baada ya ndugu yangu kwenda kwenye hospitali tatu tofauti na kupata majibu ya vipimo vya malaria tofauti kwa 'case' moja ile ile.

  Kwamba alienda kwenye maabara A ya health centre moja, akaambiwa ana 4 MPS (yaani ana vijidudu vya malaria 4), lakini akaamua kwenda kwenye maabara nyingine B aliyowahi kupima mwanzoni, majibu aliyoyapata hapo akaambiwa hana malaria yaani alionekana ana O MPS. Akaona aende kwenye maabara nyingine C, huko nako majibu yakawa kwamba hana malaria, yaani O MPS.

  Binafsi nimebaki hoi baada ya kuambiwa haya maneno. Hivi kwa mtindo huu tutabaki salama kweli wandugu? Hebu jipe muda kuwaza hii 'maneno'.
   
 2. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ulikuwa hujui kuwa maabara zetu zipo kisanii wenyewe wakijisikia kuchoka tu haaooo wanakwea pipa kufanyiwa checking ya afya india
   
Loading...