Asante Hajjat..........sikuyajuwa haya! Je kila mwezi una siku ngapi ?
Naona umefurahia maelezo yake mpaka umemtaja jina lake halisi kabisa.....😛ray:
Na FRIDAY ni siku ya swala.........hebu tupatie na kalenda ya Kiislamu maana hii ulioleta ni Georgian
Gregorian, sio Georgian....
Hajjat ni mwenda hija wa kike na si jina la mtu.........ni kinyume cha Alhaj
Hiyo ya 1997 inapatikana wapi mkuu? Nataka walau niwe nayo hiyo, naona za mwaka huu zimeisha kabisa...kama umekosa kalenda ya mwaka huu usipate tabu chukua kalenda ya mwaka 1997, kwa kiasi kikubwa zinarandana.... Think twice.
Hee, kinyume tena!.....ni kinyume cha Alhaj
Hee, kinyume tena!
Waswahii nao kwa kukuza mambo! Sasa hapo cha ajabu ni kipi?
Hajjat ni mwenda hija wa kike na si jina la mtu.........ni kinyume cha Alhaj
Ninanusa kaharufu kaudini hapa!
Any way tuachane na hayo,MAISHA menyewe magumu,kila kukicha ni ahueni ya juzi,sina haja ya kalenda na sitaki kujua kesho ni tarehe au siku gani!
TAREHE 4, 4, 2014... Friday, tarahe 6, 6, 2014 Ijumaa, taraehe 8,8 2014, ijumaaa, tarehe 10,10, 2014 ijumaaa, tarehe 12,12,2014 ijumaaa... ulishalifikiria hilo mkuu.
Kwa ufahari nalikubali jina hilo al-maaruf..... Good day Vinci !Naona umefurahia maelezo yake mpaka umemtaja jina lake halisi kabisa.....😛ray:
Prof;Safari Ahsante kufafanua utukufu wa jina.... Mashaallah unazo references .Hajjat ni mwenda hija wa kike na si jina la mtu.........ni kinyume cha Alhaj
april 4 ni friday
june 6 ni friday
august 8 ni friday
october 10 ni friday
december 12 ni friday
kama umekosa kalenda ya mwaka huu usipate tabu chukua kalenda ya mwaka 1997, kwa kiasi kikubwa zinarandana.... Think twice.
The Great Msafiri !! Swala za compulsory/obligatory ( kuwajibika ) 5 kila siku kwa 365 day a year!! Kuswali hatufuati kalenda tunafuuata nyakati za siku/usiku, Yaani :- 1. Asubuhi(alfajiri) 2. Adhuhuri(Noon) 3.Alasiri 4.Maghreb(dusk) 5. Al-Ishaa (jioni/usiku/evening).
Kwa kalenda ya KiiSlamu tunaanza na Mwezi wa 1 = Muharam. Mwezi wa 2 = Safar, wa 3 = Rabei Awali, wa 4 = Rabei Thani, wa 5 = Jama Awali, wa 6 = Jamad Thani, wa 7 = Rajab, wa 8 = Shaaban, wa 9 = Ramadhan, wa 10 = Shawal, wa 11 = DhulQeda, wa 12 = Dhul-Hajj......!
Na mwaka tuliyonao leo ni 1435h (hijra) na tarehe ya leo ni:- 07-03-1435h.
Okay kiibada mwezi mtukufu ni wa tisa huwaga Mfungo wa Ramadhani... na Mwezi mtukufu wa kumi nambili huwaga THE GREAT HAJJ (pilgrimage) Hija kukusanyika Makkah-al-Mukarama .....
Best wishies and Good Luck dia.