Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

naipenda sana ile kauli mbiu yake enzi za mjomba yuko madarakani.

Maisha mafupi. Hayawezi kuwa hivi:

IMG_20211026_191744_032.jpg

Prof Assad anasema huu ni uzuzu!
 
Nyalali commision inasema waliotaka mfumo wa vyama vingi ni wachache na katika kuwapumbaza wazungu ikabidi tuurudishe mfumo, swali ni akina nani walioanzisha vyama vingi ndilo la kujiuliza na ukipata jibu hautasumbuka na siasa.
 
Uzoefu unaonyesha mijizi ikipigiwa ukelele wa mwizi nayo hupiga ukelele kama huo kuwapoteza pursuers, maboya.

Amini nakwambia kuna mijamaa ikisikia yamekwisha stukiwa, macho huyatoka mithili ya mjusi aliyebanwa kwenye mlango.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom