Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Hili jukwaa ni kiboko kwa kweli.
Ikitokea thread haieleweki wataanza kuitana wapige stories zao. LOL! Safi lakini.
kama hii
Hata huu uzi hautopuuziwa..
kwani mbaya?
Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.
hahaha.
Mkuu Hili jukwaa lina wachangiaji wengi ukiacha jukwaa la siasa.
Pili topic za huku ni Rahisi sana,kuliko Majukwa Mengine.haziitaji utalaam Mwingi.
Halafu kama ulivyoambiwa hapo juu,Thread ikiwa ya kipuuzi sana,Basi wadau wataitana kupiga story
Mimi sijawahi kuchangia katika hili jukwaa na Kamwe sitokuja kufanya hivyo.
hahaha.
Teh kwa sababu tunapenda kuhusianaHahahahahhahh cc Heaven Sent et why
Teh kwa sababu tunapenda kuhusiana
Kule sitiagi mguu, kabisa..kwavile hamna storyHahaaa huyu jamaa anataka tupuuze kumbe, katoka siasani nini
Hahahaa tutaachaje sasa while sisi tunaishi kijamaakwanini msipuuze kuhusiana? teh
Hahahaa tutaachaje sasa while sisi tunaishi kijamaa