Maajabu ya herufi " L "

Maajabu ya herufi " L "

Hapa hadi nilipitiwa usingizi yani mimeshtuka baada ya my wife kupiga simu' ila huyo huenda mulogo product alafu hajaziliwa kupitia hapo ambapo ameshindwa kupaheshimu
acha tu.......binafsi nimejisikia vibaya kweli.
 
namimi nitaanza na L yaani Lakabanga...
 
Imethibitika kwamba ,Majina ya watu, vitu, mahali na /au hali yanayo anza na herufi L yamekuwa na nguvu za ajabu sana kuliko herufi nyingine yoyote ile. Nguvu hizo zinaweza kuwa positive au negative. Huamini? Follow me :

1. LUCIFER

2. LOVE

3. LAUGHTER.

4.LIES.

5. LOS ANGELES.
6. LIGHT
7. LESBIANS.
8. LIFE.
9. LILITH.
10.LOWASSA.

Majina yapo mengi sana, siwezi kuyataja yote hapa...

EL 2015

Nilisahau, muhimu sana hii : LADIES
 
Back
Top Bottom