Hata ukipoteza you can remotely locate it, lock it, erase it/wipe everything, ring it with android device manager from the web. It uses your google account to find your phone. Unless someone was too fast to remove your account.
.
nisicho ipenda google Drive ni ktk photo storage...
.
nili hifadhi picha zangu zilizokuwa na 3MB kila moja.. Kuja kuangalia nakuta
.
zina KB 28/30/38 Hv kiasi cha kwamba ningeweka 4shared ningekuta zipo kama zilivyokuwa ..
.
nisicho ipenda google Drive ni ktk photo storage...
.
nili hifadhi picha zangu zilizokuwa na 3MB kila moja.. Kuja kuangalia nakuta
.
zina KB 28/30/38 Hv kiasi cha kwamba ningeweka 4shared ningekuta zipo kama zilivyokuwa ..
kaka sijajua kwa upande wa android ila kwa nokia lumia hiyo kitu ipo. Nilikuwa natumia lumia 620 ikapotea, niliumia sana kwasababu ilikuwa na vitu vingi sana muhimu lakini nilivyonunua Nokia Lumia nyingine nikaingiza ile mail ya live.com. kila kitu kikarudi, kuanzia contacts, sms, picha, videos.
na kuna mdada flan nilimsaidia kuweka sawa HTC yakke, kwa bahati mbaya niliweka email yangu ya gmail kwasababu yeye hakuwa na hyo mail, cha ajabu baadhi ya picha, video, vikawa vinakuja kwenye simu yangu. nikashangaa sana. nkawa nagombana nae kwanini ananitumia vitu vya ajabu. ila baada ya mwezi ndo nkaja kugundua nini kilifanyika.
hongera kwa kupata vitu vyako
Nina Samsung SII Mini, na nimeisajili kupitia gmail account yangu. Je niingilie wapi nipite wapi ili nitokezee huko na ni serve kila kitu changu huko kiwe salama? Nipeni maujuzi GTs.
Kuona maajabu nikafikiri simu imepasua bahari kutengeneza ukanda wa nchi kavu kwenda Zanzibar.
Kumbe ni habari ya kutokujua kutumia simu ku backup content kwenye social media?
Sasa mkulu picha zako zinakuwa copied kwenye Google+ hata hujui, ubnaweza kuwa na picha za faragha halafu zinaanikwa na app dunia nzima ione wewe hata hujui.
They are not published
. Worry not
Google+ ni social network kama Facebook au Twitter. Contents zako zinakuwa saved on Google drive sio g+ ila zote ziko ndani ya gmail account
Wadau,
Leo imekuwa siku ya pekee sana kwangu, Sio kwasababu ni mwaka mpya, bali ni kwamba mnamo mwanzo mwezi wa December 2013 simu yangu Samsung GT S6802 ilitumbukia kwenye mtaro na kupotea jumla.
Simu hiyo ilikuwa na kiasi kikubwa cha kumbukumbu pamoja na picha na video kadha. Nikajikatia tamaa kuwa basi tena hasara roho, nikanunua simu ingine Samsung Mega.
Kilichonishangaza leo hii nikiwa sina hili wala lile nimepata notificatin kwenye simu yangu mpya toka google+, nilipofungua nakuta picha zote zilizokuwa kwenye simu ile iliyozama na kupotea.
Kwa ufupi Nimefurahi sana.
Mnaojua tuelezeeni zaidi functioning ya hii application ya Google+.
They are not published
. Worry not
google drive = skydrive= dropbox
google+ = facebook = myspace
una uhakika gani hazionekani?