junior mzolo
Senior Member
- Jan 26, 2014
- 140
- 7
- Thread starter
- #61
Hayo ndo maajabu ya dunia
Heee, hivi hii miti ipo kweli au watu wameedit
Hii naona haipo.
Ni Kweli Haipo ndiyo maana ameshindwa kuiweka hapa tuione.
Sasa unaona nini kama haipo.........Hii naona haipo.
Sasa unaona nini kama haipo.........
Geuza upande wa pili wa simu yako labda matawi yametokeza kwa nje