Maajabu ya dawa ya Fentanyl

aretasludovick

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
6,351
2,000
Sasa mbona unazitaka? Coz hizi Kazi yake huwa ni suicide peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli!

Ukizitumia kwa kulamba kidogo huleta raha isiyo kifani.
Pia ukilamba kidogo alafu ukaingia mzigoni unaweza usikojoe kabisa japo unapata raha mara dufu kuliko kawaida

Kwa tafsiri sahihi ni moja ya madawa ya kulevya ambayo ni mabaya sana/ukiwa mtumizi wa hii kitu hata ukivuta bangi haipandi kichwani kabisa
 
Dejavu

JF-Expert Member
May 31, 2018
1,572

Alaa kumbe!

Sasa ukinogewa ukakameza kakidonge kote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dejavu

JF-Expert Member
May 31, 2018
1,572
2,000
Hicho kidonge watengeneze cha kufanya usikie raha tu hakuna kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapata raha sana hadi mwili unajisahau kufanya Kazi zingine kwa ubongo Ku concentrates zaidi kwenye kutoa dopamine hormones za kuchochea utamu na kushut down organs na kupelekea kifo.
Ile raha ya tendo la ndoa kwa sekunde kwenye fentanyl unaipata kwa saa zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom