Maajabu ya dawa ya Fentanyl

Dejavu

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,452
Points
2,000
Dejavu

Dejavu

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,452 2,000
Fentanyl ni Dawa halali (painkiller) yenye kutibu maumivu makali sana kama extreme chronic pain kama advanced cancer stage yenye excruciating pain isiyovumilika.

Dawa hii ina opioid zao linayotumika kutengenezea heroin na ina nguvu mara 100 ya heroin yenyewe sasa kidonge kimoja chenye milligrams 2, sawa na punje tatu ndogo za mchele kinatosha kabisa kumtoa binadamu mwenye uzito wowote uhai ndani ya dakika 10 tu. Overdose yake ilimuua mwanamuziki maarufu wa marekani Prince kwa kunywa kidonge kimoja tu.

Kidonge hichi ni cha maajabu sana na wote wanaokufa kwa overdose ya hiki kidonge wanakufa wakiwa kwenye raha kubwa mno simply mtu akinywa kidonge hiki huwa kina bind up na zile receptor za kwenye ubongo zinazohusika na maumivu na kublock maumivu ya aina yeyote na kurelease dopamine hormones zile zinazotolewaga pale mtu anapofikia mshindo kwenye tendo la ndoa zinafanya hivyo kwa muda mrefu na kupelekea organs Muhimu kama moyo kutopata order ya kupump damu na kusimama na kupelekea mhusika kufariki huku akisilizia utamu wa ajabu kama anavyofikia mshindo. Hii ndio inaitwa kufa kunoga. Vipi Unbelievable? Believe it.

Balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dejavu

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,452
Points
2,000
Dejavu

Dejavu

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,452 2,000
Watu hawachelewi kuvimwaga kwenye chanzo cha maji. Wilaya nzima tupige mabao hadi mauti
Nimecheka. Wilaya nzima ikirushe kibao. Ila wale wanaojinyonga wanatukosea sana kwa kutoa mavi na mimacho na kutuachia trauma kubwa. Wanunue hizi Mali wafe kwa utamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
27,368
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
27,368 2,000
Fentanyl ni Dawa halali (painkiller) yenye kutibu maumivu makali sana kama extreme chronic pain kama advanced cancer stage yenye excruciating pain isiyovumilika.

Dawa hii ina opioid zao linayotumika kutengenezea heroin na ina nguvu mara 100 ya heroin yenyewe sasa kidonge kimoja chenye milligrams 2, sawa na punje tatu ndogo za mchele kinatosha kabisa kumtoa binadamu mwenye uzito wowote uhai ndani ya dakika 10 tu. Overdose yake ilimuua mwanamuziki maarufu wa marekani Prince kwa kunywa kidonge kimoja tu.

Kidonge hichi ni cha maajabu sana na wote wanaokufa kwa overdose ya hiki kidonge wanakufa wakiwa kwenye raha kubwa mno simply mtu akinywa kidonge hiki huwa kina bind up na zile receptor za kwenye ubongo zinazohusika na maumivu na kublock maumivu ya aina yeyote na kurelease dopamine hormones zile zinazotolewaga pale mtu anapofikia mshindo kwenye tendo la ndoa zinafanya hivyo kwa muda mrefu na kupelekea organs Muhimu kama moyo kutopata order ya kupump damu na kusimama na kupelekea mhusika kufariki huku akisilizia utamu wa ajabu kama anavyofikia mshindo. Hii ndio inaitwa kufa kunoga. Vipi Unbelievable? Believe it.

Balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol .. aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
12,817
Points
2,000
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
12,817 2,000
Hizi dawa ndio zilizomua Yule Rapper Mac Miller??kuna chanzo kimoja niliona wametaja dawa kama hz kuwa alichanganya na heroin,,jamaa akazima,,,ila cha kusikitisha zaid jamaa alifariki akiwa amepiga magoti kainamia kitanda dzain kama alikuwa anasali vile
 
Dejavu

Dejavu

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,452
Points
2,000
Dejavu

Dejavu

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,452 2,000
Sasa dozi kamili ni kiasi gani kama kimoja ni overdose?
Kidonge hakipatikani na kinatengenezwa isivyo halali, wagonjwa huwa wanachomwa sindano ambayo ni ngumu Ku overdose.
Zamani kidonge kilipatikana na ni fraction ndogo tu ndio doctor alimega na kumnyeshwa mgonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
5,611
Points
2,000
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
5,611 2,000
Niko na Tsh 50,000 kwa mwenye navyo anipe viwili kuna jaribio nataka kufanya
 
Forum statistics

Threads 1,284,177
Members 493,978
Posts 30,816,009
Top