Jinyonge km hukupenda au vuta subira hadi 2200 chama chako uchwara kitaposhika dola uje ulipe kisasi.Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa ccm waliopora ndege ya Ccm kwenda nayo msibani zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya
Thibitisha kauli yako.Wanatunyanyasa watu wa kigoma
Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa ccm waliopora ndege ya Ccm kwenda nayo msibani zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya
Sasa kama ni ndege ya ccm wameporaje tena? Wanatumia vyao bwana, mtajibeba!Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa ccm waliopora ndege ya Ccm kwenda nayo msibani zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya
Uliza vizuri huenda imekodiwa maana faida ndo kila kitu kwenye biasharaLeo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa ccm waliopora ndege ya Ccm kwenda nayo msibani zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya
Jinyonge km hukupenda au vuta subira hadi 2200 chama chako uchwara kitaposhika dola uje ulipe kisasi.
Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa CCM waliopora ndege ya CCM kwenda nayo msibani Zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya viwanda.
kwa hyo ndege na viwanda kuna uhusiano gani hapo au ndio ushabiki maandazi,kwanza ndege ipi ya ATCl inafanya kazi hivi sasa?Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa CCM waliopora ndege ya CCM kwenda nayo msibani Zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya viwanda.
Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa CCM waliopora ndege ya CCM kwenda nayo msibani Zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya viwanda.
Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa CCM waliopora ndege ya CCM kwenda nayo msibani Zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya viwanda.
Hiki la CCM Kutumia NDEGE NA kusotesha Abiria Ndio lilifanya SHIRIMA akaachaga Kazi ....maana anasaema mnaweza kupanga routes Mara wanakua WANATAKA NDEGE KWA nguvu .....,Au mtu analazimisha NDEGE imsubiri ...huo Ndio ulikuwa mwanzo wa Kufa atc ....Matokeo inabidi kuwalipia Abiria chakula Au kuwaweka hotelini .....
Mahusiano makubwa ukiona ccm hawana mshipa wa aibu eti kweli unadivert ndege ya biashara kwa shughuli binafsi unaelewa kabisa kwamba wanaufinyu wa fikra kwa maana hata uchumi wa viwanda ni zerokwa hyo ndege na viwanda kuna uhusiano gani hapo au ndio ushabiki maandazi,kwanza ndege ipi ya ATCl inafanya kazi hivi sasa?
Wewe hujitambuwi hata kàma unalipwa tumia akili yakoJinyonge km hukupenda au vuta subira hadi 2200 chama chako uchwara kitaposhika dola uje ulipe kisasi.