Maajabu ya CCM na ndege ya ATCL

Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa ccm waliopora ndege ya Ccm kwenda nayo msibani zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya
Uliza vizuri huenda imekodiwa maana faida ndo kila kitu kwenye biashara
 
Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa CCM waliopora ndege ya CCM kwenda nayo msibani Zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya viwanda.

Una hasira naona.Hizi hasira zako sio za kawaida. kama ulitaka kuuwahi mchepuko huko unakoenda utaukuta umeondoka kwa hasira umekusubiria Airport kukupokea hadi umechoka na simu huo mchepuko lazima utakuwa umeizima ili usiweze kuwasiliana naye tena.
 
Kwani zile za government zinafanya kazi gani Jamani? Sasa kwa mpango huu ATCL mpya itaendeshwa kiprofeshenali kweli?
 
Maajabu sana ndege ya shirika la umma itafanyaje kazi ya kusomba watu kwenda msibani bure ikiacha watu walilipa fedha zao wakienda kazini wao wakienda kuonyesha sura tu no wonder marehemu amewakataa kwenye usia wake wao wanang'ang'ana tu hivi wanajielewa kweli
 
Leo tangu saa kumi na nusu tupo hapa airport tukiwagonjea vingunge wa CCM waliopora ndege ya CCM kwenda nayo msibani Zanzibar wakituacha abiria tunang'aa macho eti hiyo ndio Tanzania ya viwanda.
kwa hyo ndege na viwanda kuna uhusiano gani hapo au ndio ushabiki maandazi,kwanza ndege ipi ya ATCl inafanya kazi hivi sasa?
 
Hiki la CCM Kutumia NDEGE NA kusotesha Abiria Ndio lilifanya SHIRIMA akaachaga Kazi ....maana anasaema mnaweza kupanga routes Mara wanakua WANATAKA NDEGE KWA nguvu .....,Au mtu analazimisha NDEGE imsubiri ...huo Ndio ulikuwa mwanzo wa Kufa atc ....Matokeo inabidi kuwalipia Abiria chakula Au kuwaweka hotelini .....
 
Kwani sasa hivi hizo ndege zake za PRECISSION huwa zinafuata ratiba au kuzingatia muda?
 
Vina
kwa hyo ndege na viwanda kuna uhusiano gani hapo au ndio ushabiki maandazi,kwanza ndege ipi ya ATCl inafanya kazi hivi sasa?
Mahusiano makubwa ukiona ccm hawana mshipa wa aibu eti kweli unadivert ndege ya biashara kwa shughuli binafsi unaelewa kabisa kwamba wanaufinyu wa fikra kwa maana hata uchumi wa viwanda ni zero
 
Back
Top Bottom