Maajabu ya CCM na kikao cha Dodoma

Maajabu ya CCM na kikao cha Dodoma

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
966
Reaction score
537
Sasa hivi chama cha mapinduzi (CCM) kipo katika kikao maalum cha kamati kuu huko dodoma,pamoja na mambo mengine kinaandaa mabadiliko makubwa ya kichama na kuelekea katika mabadiliko hayo kamati ya wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu wameundiwa kamati maalum kusimamia mabadiliko hayo ya kichama. Miongoni mwa waliochaguliwa ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaji Ally H.Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamini mkapa,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar Abeid Aman Karum nk.

Kitu kimoja najiuliza mabadiliko gani wanayoyataka ccm yatokee kwa kuwaweka watu wale wale wenye mtazamo ule ule?Huu ni mzaha na kucheza na akili za watanzania.
 
Sasa hivi chama cha mapinduzi (ccm) kipo katika kikao maalum cha kamati kuu huko dodoma,pamoja na mambo mengine kinaandaa mabadiliko makubwa ya kichama na kuelekea katika mabadiliko hayo kamati ya wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu wameundiwa kamati maalum kusimamia mabadiliko hayo ya kichama. Miongoni mwa waliochaguliwa ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaji Ally H.Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamini mkapa,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar Abeid Aman Karum nk.

Kamanda mpaka tufikie 2015 tutapata single kibao, mara kujivua gamba, sasa mabadiliko makubwa mapya, Mabadiliko hayo yatatoka wapi/ Hiyo ni laana ya waasisi ambao walitupiliwa mbali na kuvunja Azimio la Arusha, kuuza raslimali za Taifa kwa jina la Ubinafishaji, haiwezekani watu walewale, mawazo yale yale, mfumo uleule ulete mabadiliko haijawahi kutokea. Hata Nyerere alipoona mawazo yake ya Ujamaa na Kujitegemea waliposhindwa kumsaidia aliamua kupisha na ndipo alipokuja Mwinyi akaleta sera za ruksa.

Hapo Watanzania wahesabu maumivu tu,itawezekanajen hao hao ndo walio na hisa kwenye makampuni na watuletee mabadiliko yoyote ya maana.
 
Nadhani hawachezei akili za watanzania, wanachezea akili za wanaccm wenyewe. Maana watanzania wengi sio wanaccm.
 
New wine in an old bottle, or old wine in a new bottle????
 
They think to rule the people 4reva...Hilarious!!
 
Sasa hivi chama cha mapinduzi (ccm) kipo katika kikao maalum cha kamati kuu huko dodoma,pamoja na mambo mengine kinaandaa mabadiliko makubwa ya kichama na kuelekea katika mabadiliko hayo kamati ya wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu wameundiwa kamati maalum kusimamia mabadiliko hayo ya kichama. Miongoni mwa waliochaguliwa ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaji Ally H.Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamini mkapa,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar Abeid Aman Karum nk.

Kitu kimoja najiuliza mabadiliko gani wanayoyataka ccm yatokee kwa kuwaweka watu wale wale wenye mtazamo ule ule?Huu ni mzaha na kucheza na akili za watanzania.

yaelekea kwenu hakuna wazee. hayo uliyoandika sijui kama umeshirikisha ubongo wako
 
Kamanda mpaka tufikie 2015 tutapata single kibao, mara kujivua gamba, sasa mabadiliko makubwa mapya, Mabadiliko hayo yatatoka wapi/ Hiyo ni laana ya waasisi ambao walitupiliwa mbali na kuvunja Azimio la Arusha, kuuza raslimali za Taifa kwa jina la Ubinafishaji, haiwezekani watu walewale, mawazo yale yale, mfumo uleule ulete mabadiliko haijawahi kutokea. Hata Nyerere alipoona mawazo yake ya Ujamaa na Kujitegemea waliposhindwa kumsaidia aliamua kupisha na ndipo alipokuja Mwinyi akaleta sera za ruksa.

Hapo Watanzania wahesabu maumivu tu,itawezekanajen hao hao ndo walio na hisa kwenye makampuni na watuletee mabadiliko yoyote ya maana.

Mbona nyie mmegeuka kuwa wasemaji wa CCM? ni hivi majuzi tu mlikuwa mnalalama kitendo cha HAMY-D kuweka hadharani uozo wa CHADEMA
 
hiyo ndo kiboko ya CHADEMA. wazee wenye busara wapo CCM, chadema kuna wazee hovyo wakiwakilishwa na Dr Slaa

Mwakilishi wa mateja walioalikwa ikulu,msimlaumu yupo doro
 
Sasa hivi chama cha mapinduzi (ccm) kipo katika kikao maalum cha kamati kuu huko dodoma,pamoja na mambo mengine kinaandaa mabadiliko makubwa ya kichama na kuelekea katika mabadiliko hayo kamati ya wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu wameundiwa kamati maalum kusimamia mabadiliko hayo ya kichama. Miongoni mwa waliochaguliwa ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaji Ally H.Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamini mkapa,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar Abeid Aman Karum nk.

Kitu kimoja najiuliza mabadiliko gani wanayoyataka ccm yatokee kwa kuwaweka watu wale wale wenye mtazamo ule ule?Huu ni mzaha na kucheza na akili za watanzania.

Ni dhahiri wameona vijana wa aina ya Mwigulu Nchemba, Nape Nnaye, Juliana Shonza na wenzao hawawezi kupambana na akina Sugu, Kigaila na Kamanda Mawazo. Kwa maneno mengine kamati tendaji ya CCM chini ya Mh. Kinana imekubali kuwa haiwezi kupambana na kamati tendaji ya Dr. Slaa. Hivyo pengine yawezekana zao hili la kamati ya wazee ni wazo la Mh. Kinana, wazo ambalo linaelekea kufa kabla halijaanza kazi rasmi maana kamati ya Wazee hawa imechangia matatizo ya uchumi, kijamii na kisiasa tuliyonayo hapa Tanzania, sioni ni namna gani kamati hii itanikisha kutatua matatizo iliyoyazalisha.

Muhimu chadema waendeleze harakati za kuwaelimisha Watanzania ili CCM imfuate KANU huko aliko.
 
CCM wamezoea kulindana, na kupeana ulaji, sioni sababu ya kuwaweka hao wazee hapo, tena mawazo yao ukomunist-bebari uliotufikisha hapa!
 
Mimi naona ni mbinu tu ya kuwatafutia ulaji wazee wao?
 
hiyo ndo kiboko ya CHADEMA. wazee wenye busara wapo CCM, chadema kuna wazee hovyo wakiwakilishwa na Dr Slaa

Hao wazee ni wezi tu kama maccm mengine; Mwinyi alituibia kupitia kwa Ladwa, Malecela ndio huyo alikula hela ya EPA kupitia kwa Jeetu Patel, Msekwa ndio huyo aliyepiga deals za kuuza viwanja vya hotel kwenye mbuga za wanyama; Mkapa ndio huyo wa kubinafsisha na kujiuzia mgodi wa makaa ya mawe; Karume ndio huyo na Wataliani wanaomiliki hotel za kitalii ufukweni huko Zenj na fedha inawekwa nje, Mkweree mwenyewe ndio mtu wa Subash Patel. Wote ni mafisadi hakuna mwenye busara hapo!!!
 
Mbona nyie mmegeuka kuwa wasemaji wa CCM? ni hivi majuzi tu mlikuwa mnalalama kitendo cha HAMY-D kuweka hadharani uozo wa CHADEMA

Ukiwa na watu walewale, wakafanya mambo yaleyale, watapata matokeo yaleyale na hasira za wananchi zitakuwa palepale
 
Do not pour old wine into wine.The old with ccm is dead as per Nape.
 
Sasa hivi chama cha mapinduzi (ccm) kipo katika kikao maalum cha kamati kuu huko dodoma,pamoja na mambo mengine kinaandaa mabadiliko makubwa ya kichama na kuelekea katika mabadiliko hayo kamati ya wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu wameundiwa kamati maalum kusimamia mabadiliko hayo ya kichama. Miongoni mwa waliochaguliwa ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaji Ally H.Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamini mkapa,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar Abeid Aman Karum nk.

Kitu kimoja najiuliza mabadiliko gani wanayoyataka ccm yatokee kwa kuwaweka watu wale wale wenye mtazamo ule ule?Huu ni mzaha na kucheza na akili za watanzania.

Hapo ni staili na dining tu pamebadilishwa, walaji ni wale wale.
 
...problems can not be solved by the same level of thinking that created them...(kwa hisani ya mh Msigwa)
 
Wanawapooza wazee baada ya Nape kusema wazee wanasubiri kufa.
 
Back
Top Bottom