Maajabu ya CCM na kikao cha Dodoma

Maajabu ya CCM na kikao cha Dodoma

Labda tunapaswa kujitafakari zaidi wapinzani,inawezekana hiyo ndiyo kamati ya ushindi ya ccm ,uhindi wa faulo.Nadhani kwa vyama vya upinzani vikalitazama hili kwa jicho la tatu,itakuwa ni kuwarahisishia ushindi kama vyama vya upinzani vitakubali kuingia kwenye uchaguzi bila kuwa na tume huru ya uchaguzi .Vingenevyo ushindi utakuwa ule ule ccm 61% na 39% watagawana wapinzani.Refer uchuguzi wa mwaka 2010,au refer kule zimbabwa nadhani wamefundishwa mbinu na Watanzania.

Nionavyo mimi ccm kuachia nchi kirahisi rahisi kwao ni ngumu,lazima itumike mikakati ya maksudi na mahsusi ili kuitoa madarakani ccm.
 
Kitu kimoja najiuliza mabadiliko gani wanayoyataka ccm yatokee kwa kuwaweka watu wale wale wenye mtazamo ule ule?Huu ni mzaha na kucheza na akili za watanzania.
ushahidi mwingine wa ni jinsi gani walivyoimasikinisha nchi hii.

 
Maajabu yako cdm baba mkwe kamrithisha uenyekiti mkwewe padri akacha kanisa na kuwa katibu wa chama then kakwapua muke ya mutu.maajabu viongozi hawaiyi familia zao kwny maandamano baki familia za wachovu wanaoishia kukamatwa
 
hiyo ndo kiboko ya CHADEMA. wazee wenye busara wapo CCM, chadema kuna wazee hovyo wakiwakilishwa na Dr Slaa

kwa maneno hayo babaàko naye anajigamba kuwa "nna toto langu dume". hôvyo!
 
Labda mapya ya kuhakikisha mwuza madawa ya kulevya anakuwa rais
 
Hao wazee wa ccm wataitoa ccm toka kuvunda mpaka kuifanya ikawa ccm ilioza! Ccm hoyeee!
Nimeshangaa kuona Karume yumo kwenye list! Maana kila siku anatuhumiwa kushirikiana na watu wa "serikali ya mkataba"
 
Mbona nyie mmegeuka kuwa wasemaji wa CCM? ni hivi majuzi tu mlikuwa mnalalama kitendo cha HAMY-D kuweka hadharani uozo wa CHADEMA
Hivi kuvuana magamba kuliishia wapi vile?
 
Insanity keeping doing the same thing and expecting different results by Albert Estein
 
Hakuna movie isiyokuwa na mwisho hata dola ya warumi ilipofika muda wake ilianguka. Nimewaona wazee wenyewe kwenye picha ya pamoja, mmh! sura zao na hali zao hazitoi matumaini sura hazina uangavu wowote. Wamechoka miaka hamsini (awamu 4). CD yenu imeisha sasa inapiga kelele ndani ya deki. Magamba kwishnei.
 
CCM ni kama betri iliyokwisha nguvu, ikachemshwa na chumvi, ikapondwapondwa, zikaungwa msululu ili kusaidia redio kuwaka, ukweli lazima hata kama ni msululu itafika mwisho redio hailii tena. Hatua zote hizo CCM wamepitia, imebaki ni kutupwa mbali watoto wasichezee na kisha kununua mpya zenye nguvu na sio brand ile ya kichina kama CCM. watoto wetu wachukie CCM kama UKIMWI
 
Naona wengi ndani ya JF munadhihaki hizo teuzi za CCM kwa kuona hakuna mabadiliko yoyote wanaweza leta hao wazee,hembu mmoja aniambie humu kama angepewa nafasi leo pale DODOMA kuteua viongozi ndani ya CCM angenteua nani na kumuacha nani......binafsi CCM wote naona wamechoka akili mpk mwili,akili zilizobaki ni za kupiga dili tu basi.
 
Du! nawewe mwenyekichwa kikubwa ubongo wa kuku Dr slaa utamlinganisha na mavuvuzera ya ccm we vip neda milembe kapimwe
 
wanataka kuwafukuza wenyeviti wa mkoa waliopatika kwa Rushwa kama alivyoagiza yule sijui ni naibu katibu mkuu
 
Me sioni tatizo juu ya ccm ilichokifanya no jambo zuri na linastahili kupongezwa maana mabadiliko yoyote ni mchakato ambapo mwisho wake lazima kuwe na matokeo. Binafsi nawapongeza
 
Ha ha ha haaa!hapo hakuna jipya,watashauri nini?wakati wa enzi zao hawakuupokea ushauri wa Baba wa Taifa.Laana i juu yao,watoto wao na vizazi vyoa!
 
Sasa hivi chama cha mapinduzi (CCM) kipo katika kikao maalum cha kamati kuu huko dodoma,pamoja na mambo mengine kinaandaa mabadiliko makubwa ya kichama na kuelekea katika mabadiliko hayo kamati ya wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu wameundiwa kamati maalum kusimamia mabadiliko hayo ya kichama. Miongoni mwa waliochaguliwa ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaji Ally H.Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamini mkapa,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar Abeid Aman Karum nk.

Kitu kimoja najiuliza mabadiliko gani wanayoyataka ccm yatokee kwa kuwaweka watu wale wale wenye mtazamo ule ule?Huu ni mzaha na kucheza na akili za watanzania.

Imeandikwa Mungu akitaka kukuangamiza anakutia upofu na hicho ndicho kinatokea kwa ccm hii kufika 2014-2015 itabaki historia kuwa kilikuwepo chama kinaitwa ccm.
 
Back
Top Bottom