Mr junior hawa jamaa wana mapungufu mengi sana na hawajielewi kabisa:- utunzi wao ni mbovu kupita kiasi filamu hazina maudhui kabisa.utaona wanaigiza vitu ambavyo havina uhalisia wa maisha ya kiafrika /kitanzania wanaigiza upuuuzi wa kwao wanao ujua.technologia pia imewaacha nyuma kabisa kabisaaaa yaaani ngoja watengeneze zombie ndio utacheka mpaka basi.full salakasi yaaani ni ujinga mtupu. Hazina maadili wala huwezi ziangalia Na familia ni ushenzi mtupu. Sasa yote Tisa njoo katika subtitles ndio utacheka kiingereza nikibovu balaaaLeo hii bongo muvi wanalalamika wamekosa soko na muvi za njee ndo zinaharibu soko lakini wamesahau kitu kimoja kinaitwa uwekezaji leo hii bongo fleva mtu anawekeza zaidi ya M 30 au 40 kwa video ya dk 4 mpaka 3 kaweka dhamira lakini awa ndugu zetu bongo muvi vituko mtupu, haiwezekani muvi ya saa zima uwekeze M 10 utgemee upate kitu kizuri, muangalie mmejikwa wapi mnyanyuke mtngenezee kazi nzuri mchawi hayupo kariako
kanumba alikufa na sanaa yake maana aliitoa chimbo akaiweka kwenye ramani watu wakaanza kuielewa lakini watu alio waachia walijiaminisha kupitia kivuli cha marehemu watafika mbali ni upuuzi awa jamaa kweli wamekosa creativity utakuta director mwenyewe, location manager mwenyewe, script mwenyew unategemea nin?Mr junior hawa jamaa wana mapungufu mengi sana na hawajielewi kabisa:- utunzi wao ni mbovu kupita kiasi filamu hazina maudhui kabisa.utaona wanaigiza vitu ambavyo havina uhalisia wa maisha ya kiafrika /kitanzania wanaigiza upuuuzi wa kwao wanao ujua.technologia pia imewaacha nyuma kabisa kabisaaaa yaaani ngoja watengeneze zombie ndio utacheka mpaka basi.full salakasi yaaani ni ujinga mtupu. Hazina maadili wala huwezi ziangalia Na familia ni ushenzi mtupu. Sasa yote Tisa njoo katika subtitles ndio utacheka kiingereza nikibovu balaaa
Du Mkuu umeandika kimang'ati!uki
ukiangalia movie lazier ukase na remote pembeni main mara husikii mara makelele base ball tutu