Maajabu ya awamu hii, CAG akabidhi ripoti ya ukaguzi March 28, 2019 kimya kimya na Ikulu haikutaka umma ujue juu ya makabidhiano kati ya rais na CAG

Kitaeleweka

Bado kuna mengi yenye ukakasi na uchungu zaidi ya hayo

Kaa kitako, tulia, usiwe na jazba tizama tamthilia hii yenye episode ya mwisho 2020
 
Mtaji wa JPM sasa hivi ni kuhakikisha watu hawapati taarifa muhimu bali kulishwa watakacho ccm. Wanajua kabisa kuna mambo mengi hayaendi vizuri hivyo namna pekee ni kuhakikisha taarifa muhimu haziufukii umma.
 
Hahahhaha tatizo magufuli hutaki serikali yake ionekane hata na doa, na cha ajabu anataka kazi ya CAG afanye yeye. Hili jambo in long run itakuja leta madhara najua wanaoiba na kufaidika ndio hao wanaomshauri asifuatilie report ya CAG sabb si ASsad sio mtu wetu lkn yetu macho
 
Magufuli aliwaambia mabalozi wakiona tatizo lolote wasipost twitter bali waende kwa Waziri mwenye dhamana. Hata CAG ataambiwa tu siku akigundua watu wamepiga 1.5T, hakuna haja ya kuiandikia report bali amtonye Jiwe kimyakimya
 
Bora ofisi ya ukaguzi umeitulisha. Bila wao kimyakimya

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…