Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,867
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema kama hamjapeleka mahesabu ya fedha za ruzuku hakika mtafutwa kimya kimya labda ndio maana CC ya Ufipa kesho inakutana!
Ilianza gap ya 1.5 trillion sasa sijui imefika ngapi.... Lazima waende kimyakimya
Ripoti hii mmeiba ngapi? Kuapishwa kwa mwenyekiti inakuwa live ila ukaguzi wa nchi gizani wajinga sana nyie
Na kwenye tovuti hazipo
Futeni vyama vyote mmabaki CCM tu muichemshe nchi mnywe supu.Chadema kama hamjapeleka mahesabu ya fedha za ruzuku hakika mtafutwa kimya kimya labda ndio maana CC ya Ufipa kesho inakutana!
Maendeleo hayana vyama