Maajabu ya awamu hii, CAG akabidhi ripoti ya ukaguzi March 28, 2019 kimya kimya na Ikulu haikutaka umma ujue juu ya makabidhiano kati ya rais na CAG

Hizo customs zinazosema ni lazima Rais atangaze ni zipi?Nyie si ndio mnaopinga kila siku Rais kuonekana kwenye CAMERA?Kwanza hiyo taarifa imeshatolewa na ofisi ya CAG kwenda kwa umma shida nini?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Mnavyojing'atang'ata sasa!! Mwisho mtajiuma ulimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekanaje, kama taarifa ya kuangalia mpira Tz vs Uganda magogoni ilirushwa kwanini hii haikurushwa?
 
Mtaji wa JPM sasa hivi ni kuhakikisha watu hawapati taarifa muhimu bali kulishwa watakacho ccm. Wanajua kabisa kuna mambo mengi hayaendi vizuri hivyo namna pekee ni kuhakikisha taarifa muhimu haziufukii umma.
Bure kbsa siku akiwa nje ya mfumo je ayatajulikana?
 
Makanekia/Madini, midege ya Magufuli na upotevu wa trillion zetu, kwenye hii taarifa ya CAG hamna. Poleni wadanganyika.
 
Bila taarifa mngejuaje Hizi ni tabia za kishoga kuwashwa makalio
Kwa kawaida kunakuwa na dhifa kubwa, mashamsham, na taarifa inatolewa na Ikulu. Leo Ikulu iko kimya kabisa, yaani Rais anafanya tafrija kubwa hivi halafu kimya? KAMA TUNAONESHWA RAIS ANAKUNYWA CHAI NA MATRAFIKI IKULU, LEO TUKIO KUBWA HIVI LINAFICHWA? KUNA HARUFU YA MZOGA HAPA!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mzee wa 'air hostage' hizi ripoti zinamvua nguo.
From 2.4 trillion to ?? this year, time will tell.
Jizi la fedha za umma.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu OKW BOBAN SUNZU bila shaka kuna madudu ya kutisha kwenye ripoti hizo za ukaguzi ndiyo sababu habari hii imefanywa kimya kimya. Na kile kikaragosi cha dikteta Ndugai lazima kitumike kumchafua na kumdhalilisha CAG ili dikteta apate sababu ya kumfuta kazi CAG Assad na kuweka kikaragosi chake ambacho hakitaandika ukweli kuhusu hali halisi ya ufujaji na ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi.


View attachment 1057770

Hakuna makamera,wala front page, wala mbwembwe zozote kama tulivyozoea. Nini tafsiri yake?

paschal Mayalla BAK technically
 
Hivi kwasababu ripoti imepelekwa kimya kimya, na hakuna hata chombo cha habari kimoja kimeripoti ikiwa inaonekana ni mpango maalum, swali langu hapo ikulu watu hawawezi ibadilisha kabla haijafikishwa bungeni ambapo ndo huwa ripoti ya wazi kwa kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom